hata pilipili iwasheje haiwez kuwasha runinga
Lete heshma zote lakn huwezi kumpokea askar bunduki mashne gun
enjoy++
Kibogoyo hana mapengo
usiku mbu, mchana wanaa!
Asanteni. Kumbe hapa Jukwaani tunao Mpoki wengi!Dereva hagombei Siti.
kipara bila elimu ni sawa na makonde kuimba taarabu
Cha mtu huliwa na mtu kasoro chuma huliwa na kutu!
hata pilipili iwasheje haiwez kuwasha runinga