Mwenye duka na Mteja wake

Mwenye duka na Mteja wake

Gaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,558
Reaction score
1,971
Katika mauzo na Mteja wake dukani..........

Muuzaji: samahani kaka hairuhusiwi kuvuta sigara hapa dukani

Mteja: Mbona sigara nimenunua hapahapa dukani?

Muuzaji: Ebo , kila siku tunakuuzia condom , mbona hutom..i hapahapa?
 
kwani wanavyo vyumba hapo hapo? Na jamaa hakamui hapo sababu ana chumba chake
 
kha! Haina tofaut na ile ya chiz alikuwa anakuna jicho huku amevaa miwani. Mwenye akili akamuuliza vp mbona unajikuna jicho huku umevaa miwan c uvue ndo ujikune. Chiz akamjibu ukiwashwa ta++o utavua nguo ndo ujikune?
 
......huyo kweli chizi!!
 
kha! Haina tofaut na ile ya chiz alikuwa anakuna jicho huku amevaa miwani. Mwenye akili akamuuliza vp mbona unajikuna jicho huku umevaa miwan c uvue ndo ujikune. Chiz akamjibu ukiwashwa ta++o utavua nguo ndo ujikune?
:clap2:kweliii kuna chizii na jichiziiii
 
kha! Haina tofaut na ile ya chiz alikuwa anakuna jicho huku amevaa miwani. Mwenye akili akamuuliza vp mbona unajikuna jicho huku umevaa miwan c uvue ndo ujikune. Chiz akamjibu ukiwashwa ta++o utavua nguo ndo ujikune?

te hetehe kwikwikwiwkiw ahahah unani hoi
 
Katika mauzo na Mteja wake dukani..........

Muuzaji: samahani kaka hairuhusiwi kuvuta sigara hapa dukani

Mteja: Mbona sigara nimenunua hapahapa dukani?

Muuzaji: Ebo , kila siku tunakuuzia condom , mbona hutom..i hapahapa?

Tehe!
 
Back
Top Bottom