mwenye driver za sound | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwenye driver za sound

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Parata, Jun 5, 2012.

 1. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  jamani nimeweka window 7 nimekosa sound driver mwenyenazo jamani naomba watu wangu
   
 2. leh

  leh JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  niambie model ya laptop yako. cha kushangaza ni kwamba driver za sound card nyingi ni compatible, yaani ni nadri windows ishindwe kupata driverza kufaa kupachika hata za kufanania. hii inatokana na kwamba soko la audio devices haliuzi kama for example la video card. so kwa kukusaidia zaidi, pia ningetaka kujua kuhusu hii installation uliofanya. ni fresh installation?? au umeupgrade windows yako? kwanini umeinstall windows upya?
   
Loading...