ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,264
- 4,702
Ohoo wanajamvini, nina shauku kubwa sana ya kumfahamu na kumjua mkurugenzi mpya wa TANESCO, kwa uzoefu wa kazi zake pamoja na picha yake, pia taaluma yake ni fani gani, umeme, uchumu, mekanika au siasa. mwenye kujua au ambaye ana CV ya huyu Doctor ambaye ni mkurugenzi mpya wa TANESCO Atusaidie.
Pia tutaweza kuona uzoefu alionao katika kuendesha kazi za kiufundi hasa ufundi umeme, tunajua TANESCO Ina mambo na taratibu zake tofauti , so itabidi pia imchukue muda wa ziada ili aweze kuwa na uelewa wa mambo yanayofanyika TANESCO.
Mwenye CV atusaidie wanyonge