Mwenye CV ya Dr. Esau Mwinuka, Ag.MD TANESCO, Ana uzoefu wa Power System Mngmnt??

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,894
Ohoo wanajamvini, nina shauku kubwa sana ya kumfahamu na kumjua mkurugenzi mpya wa TANESCO, kwa uzoefu wa kazi zake pamoja na picha yake, pia taaluma yake ni fani gani, umeme, uchumu, mekanika au siasa. mwenye kujua au ambaye ana CV ya huyu Doctor ambaye ni mkurugenzi mpya wa TANESCO Atusaidie.

Pia tutaweza kuona uzoefu alionao katika kuendesha kazi za kiufundi hasa ufundi umeme, tunajua TANESCO Ina mambo na taratibu zake tofauti , so itabidi pia imchukue muda wa ziada ili aweze kuwa na uelewa wa mambo yanayofanyika TANESCO.

Mwenye CV atusaidie wanyonge
 
Ni mwalimu wa Mramba chuo kikuu,
 
Mleta mada wewe binafsi umeficha hadi cv yako ya jina halafu za wenzako ndiyo unazitafuta mpaka unatokwa jasho kwenye meno. Weka zako kisha tafuta zetu.
Msakila KABENDE - RC OFFICE BUKOBA
 
Mgaya amepewa kuongoza taasisi yautafiti wa magonjwa ya binadamu wakati siyo fani yake hata kupima maralia hajui, sijui huo utafiti atasubiri tu kuletewa data mezani au ameanza kujifunza kupima
 
Mleta mada wewe binafsi umeficha hadi cv yako ya jina halafu za wenzako ndiyo unazitafuta mpaka unatokwa jasho kwenye meno. Weka zako kisha tafuta zetu.
Msakila KABENDE - RC OFFICE BUKOBA
RC Office Bukoba,,,,hii ofc ni mpya au unamaanisha RC's Office Kagera
 
Ohoo wanajamvini, nina shauku kubwa sana ya kumfahamu na kumjua mkurugenzi mpya wa TANESCO, kwa uzoefu wa kazi zake pamoja na picha yake, pia taaluma yake ni fani gani, umeme, uchumu, mekanika au siasa. mwenye kujua au ambaye ana CV ya huyu Doctor ambaye ni mkurugenzi mpya wa TANESCO Atusaidie.

Pia tutaweza kuona uzoefu alionao katika kuendesha kazi za kiufundi hasa ufundi umeme, tunajua TANESCO Ina mambo na taratibu zake tofauti , so itabidi pia imchukue muda wa ziada ili aweze kuwa na uelewa wa mambo yanayofanyika TANESCO.

Mwenye CV atusaidie wanyonge
Mkuu ningekuona wa maana sana ungeweka CV yako kwanza ndio uombe kujua CV ya mkurugenzi wa tanesco. Anyway ukijua CV yake utafaidikaje?, utakuwa kila anayeteuliwa ww unahitaji CV tu je we ndio mtunza takwimu za CV za wateuz wa bwan yule?. Achana na CV za maafisa piga kazi
 
Ohoo wanajamvini, nina shauku kubwa sana ya kumfahamu na kumjua mkurugenzi mpya wa TANESCO, kwa uzoefu wa kazi zake pamoja na picha yake, pia taaluma yake ni fani gani, umeme, uchumu, mekanika au siasa. mwenye kujua au ambaye ana CV ya huyu Doctor ambaye ni mkurugenzi mpya wa TANESCO Atusaidie.

Pia tutaweza kuona uzoefu alionao katika kuendesha kazi za kiufundi hasa ufundi umeme, tunajua TANESCO Ina mambo na taratibu zake tofauti , so itabidi pia imchukue muda wa ziada ili aweze kuwa na uelewa wa mambo yanayofanyika TANESCO.

Mwenye CV atusaidie wanyonge

KAHANGAIKE NA CV ZA WABUNGE UONE KAMA WANAFAA KUKUONGOZA... RAISI APINGWI
 
Hivi nyie JF banyan'ing'we! Hamwezi mkasema hamna hiyo CV na kunyamaza badala ya kupiga talalila hapa mtandaoni? Banyan'ing'we!!
 
Back
Top Bottom