Natafuta kazi… ninapofanya kazi mkataba unaisha mwezi huu … ajira zimekuwa ngumu kila ukiomba una temwa
Nina elimu ngazi ya degree maendeleo ya jamii
Kama kuna mtu ana connection hata kuwa muhudumu wa tren SGR ama ukonda wa mabasi mimi niko tayari
Au kama kuna kazi yoyote halali nisaidiwe maisha magumu haswa binti kukaa bila ajira
Nawasilisha