hujapigika bado subiri yakuchape na kukukanda vilivyo hiyo kilimo mbona utaitaka tu
unajua haya maisha yalivyo ukiwa huna kazi na ukawa umepigika lazima ukiambiwa kuna kaz utaenda tu coz unajua mwisho wa siku unapata chochote kitu ajifunze kidogo kidogo atakua expert tu baada ya mudaKwahiyo Kama hawezi kulima amekosea mkuu ?
unajua haya maisha yalivyo ukiwa huna kazi na ukawa umepigika lazima ukiambiwa kuna kaz utaenda tu coz unajua mwisho wa siku unapata chochote kitu ajifunze kidogo kidogo atakua expert tu baada ya muda
Hiyo kaz labda raraa reree akutaftie mfanyakazi.. mzaramo lakiniNjoo anizalie mtoto niwe nakulipa child support £20 per hour kwa masaa nane
Hapana hao wengi wao ni masheitwaniHiyo kaz labda raraa reree akutaftie mfanyakazi.. mzaramo lakini
kazi ya bar je?Hata hii nayofanya degree iko kando wala sio ya elimu yangu
Sichagui kazi ila kilimo hapana