Mwenye connection

Mwenye connection

Natafuta kazi… ninapofanya kazi mkataba unaisha mwezi huu … ajira zimekuwa ngumu kila ukiomba una temwa

Nina elimu ngazi ya degree maendeleo ya jamii

Kama kuna mtu ana connection hata kuwa muhudumu wa tren SGR ama ukonda wa mabasi mimi niko tayari

Au kama kuna kazi yoyote halali nisaidiwe maisha magumu haswa binti kukaa bila ajira

Nawasilisha
Njoo anizalie mtoto niwe nakulipa child support £20 per hour kwa masaa nane
 
Natafuta kazi… ninapofanya kazi mkataba unaisha mwezi huu … ajira zimekuwa ngumu kila ukiomba una temwa

Nina elimu ngazi ya degree maendeleo ya jamii

Kama kuna mtu ana connection hata kuwa muhudumu wa tren SGR ama ukonda wa mabasi mimi niko tayari

Au kama kuna kazi yoyote halali nisaidiwe maisha magumu haswa binti kukaa bila ajira

Nawasilisha
Bahati mbaya unajibiwa na wenye tatizo kama lako, searching for connections. Hawa ni wazuri sana katika kukatishana tamaa
 
Back
Top Bottom