monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 886
- 1,588
vipo vya kutosha hadi guard basic training courseUna vyeti?
Ngoja nikuunge na mtu wa kiwanda nicheki pmvipo vya kutosha hadi guard basic training course
poa mkuuNgoja nikuunge na mtu wa kiwanda nicheki pm
unamaanisha residence au?kwa watu binafsi utalinda?
Ndiyounamaanisha residence au?
ni wapi hapo mkuu na wanalipajeNdiyo
mkuu hii inamfaa msela ahsante kwa msaada mkuu ninaishi na mkeKuna kazi ya kutunza kuku wa mayai mshahara 150k kula na kulala Kwa boss
Braza vp hamna nafas nyingineNicheki mshara 320k ila utanipooza ganji elf30 kama upotiar piga 0614951696
Acha njaa weweNicheki mshara 320k ila utanipooza ganji elf30 kama upotiar piga 0614951696
Mshahara wake nasikikia ni elfu 70 kwa kawaida na ukiwa supervisor unakula 150 ,ni kweli?Natumai hamjambo, kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nina uzoefu wa kutosha na hii kazi nilishafanya serena hoteli, kiwandani na airport termonal 3 kupitia gardaworld
kwa yeyote atakayeweza kunisaidia ani PM tafadhali
Dah wanaume tume umbwa mateso, mateso kuhangaika.Mshahara wake nasikikia ni elfu 70 kwa kawaida na ukiwa supervisor unakula 150 ,ni kweli?
Noma SanaDah wanaume tume umbwa mateso, mateso kuhangaika.
Garda wana mishahara mizuri kwasasa kuliko kampuni nyingi...Mshahara wake nasikikia ni elfu 70 kwa kawaida na ukiwa supervisor unakula 150 ,ni kweli?
Garda huwa wanatoa nafasi kuanzia Mwezi gani MkuuGarda wana mishahara mizuri kwasasa kuliko kampuni nyingi...
Mlinzi wa kawaida analipwa Net pay ya kuanzia 390 hadi 400+... Inategemea lindo lake...
Sitokwambia kuhusu mlinzi aliye kwenye miradi kama bomba la mafuta n.k...
Kule mlinzi analipwa kuliko mwalimu wa sekondari.