Mwenye connection ya kazi ya security

Mwenye connection ya kazi ya security

Garda huwa wanatoa nafasi kuanzia Mwezi gani Mkuu
Wana ofisi zao za kanda...

Dar, Arusha na Mwanza...

Kama uko kanda ya ziwa nenda Mwanza...

Kama uko kasikazini nenda Arusha...

Mashariki nenda Dar...

Sina taarifa sahihi kuhusu ajira zao kwasasa so ukitaka kujua, nenda ofisini kwao watakupa majibu mkuu...
 
Garda wana mishahara mizuri kwasasa kuliko kampuni nyingi...

Mlinzi wa kawaida analipwa Net pay ya kuanzia 390 hadi 400+... Inategemea lindo lake...

Sitokwambia kuhusu mlinzi aliye kwenye miradi kama bomba la mafuta n.k...

Kule mlinzi analipwa kuliko mwalimu wa sekondari.
Basi watakuwa wameanza kulipa vizuri hivi karibuni ,nakumbuka kuna jamaa alikuwa G4S alikuwa anakula elfu 70 na alikuwa anaiba vifaa anavyolinda anaenda kuuza maana hela haimtoshi ,yaani alikuwa omba omba alikuwa mida ya kutoka lazima akae getini kukuinulia chuma unampoza na "Foronya aka Khaki" (Buku 5).
 
Back
Top Bottom