Mwenye connection ya biashara ya kuku kwa Zanzibar

Mahotelini watu washalizwa sana huko si kwa kukuamini kabisaaa
Kivipi?? Wewe una Leseni ya Biashara na namba ya mlipa kodi?? Iwapo unafanya official Delivery with all documentation unadhurumiwaje?? Yes kama unapeleka kuku kienyeji kwenye maohotel wajanja lazima wakulize.... lakini kama unapeleka with delivery notes why udhurumiwe?? Inaonekana Unafanya biashara kienyeji mno. Na ndo maana unahangaika na kutafuta Masoko. Hivi kutoka mjini mpaka kule daraja la Shein kuna migahawa na vibanda vya Chips vingapi??njiani pamoja na Masoko? Je hao wote uwezi wauzia hao kuku wako??Tatizo nini?? Niajiri nije niwe meneja masoko wako Shekhe😁
 
Unaongea mambo kirahisi sanaaa

Kivipi?? Ufugaji na kuuza kuku wa Nyama is not Rocket Science. Na isitoshe demand ya kuku Zanzibar ata huku Bara ni kubwa sana. Ndo maana nataka kujua wewe unakumbana na Changa moto zipi kwenye Kuuza hao kuku.Maana ata pale CCM Club wanauza zaidi ya kuku 50 kwa siku Capetown fish market, Forodhani kwenyewe kwa siku etc. sasa sijui wewe unatafutaje Masoko yako. Shida ni nini??
 
Attachments

  • IMG_7588.jpeg
    IMG_7588.jpeg
    23 KB · Views: 4
  • IMG_7589.jpeg
    IMG_7589.jpeg
    24.8 KB · Views: 4
  • IMG_7586.jpeg
    IMG_7586.jpeg
    32.1 KB · Views: 3
  • IMG_7587.jpeg
    IMG_7587.jpeg
    25.9 KB · Views: 4
  • IMG_7583.jpeg
    IMG_7583.jpeg
    15.5 KB · Views: 4
  • IMG_7582.jpeg
    IMG_7582.jpeg
    18.9 KB · Views: 4
  • IMG_7578.jpeg
    IMG_7578.jpeg
    19.4 KB · Views: 4
  • IMG_7579.jpeg
    IMG_7579.jpeg
    21 KB · Views: 5
elfu kumi na tatu akiwa kashapekiwa tayari
Changamoto naona ni price boss kuku kwenye vibanda vya chipsi zanzibar aliyekaangwa tayari mzima ni sh. 12,000/=. Nadhani kwa jumla kwenye lile box wenyewe wanaweza kuwa wananunua mpaka 7,000/= (japo sina hakika) . Lakini rejareja ni 9,500.
 
Hio price nilosema kuna mwenzangu anauza wakiwa bandani ila kipindi hiki cha skukuu nilipata bei hiyo na nilieka kuku 700
 
Soko sio kama hakuna kabisaa ila natafuta mtu wa uhakika
 
Back
Top Bottom