Mwenye certificate au diploma ya marketing

Mwenye certificate au diploma ya marketing

NYAMALAWA

Member
Joined
May 3, 2012
Posts
90
Reaction score
17
Tunahitaji mtu mwenye sifa tajwa hapo juu kwajili ya kazi,

Awe muaminifu
Mchapakazi
Mwenye kufanya kazi bila kusimamiwa
Umri kuanzia miaka 18-24
Awe mkazi wa dar es salaam

Anaekidhi vigezo hvyo atume cv yake hapa
dmgaya1@gmail.com
 
Kampuni gani,mpo
wapi? Halafu hiyo email imekaa kipersonal sana haipo kiofisi.

We endelea kusubiri email ya kampuni,wenye nia na kazi tayari washatuma mails zao kitambo
 
Kampuni gani,mpo wapi? Halafu hiyo email imekaa kipersonal sana haipo kiofisi.
mie kinachonishangaza kila nikituma email kwenda kwenye hizi za makampuni mfano,whitdent@ipp.com,haziendi bana,why?
 
mie kinachonishangaza kila nikituma email kwenda kwenye hizi za makampuni mfano,whitdent@ipp.com,haziendi bana,why?
Whitedent@ipp!. Mbona umechanganya kande,mlenda, samaki na chai...!
Lazima zisiende.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom