Mwenye Bulk sms offline apk, ajitokeze tufanye biashara

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
Aliye na app tajwa hapo juu ajitokeze tufanye kazi, angalizo, sitaki app ya kufanya kazi online, lkn pia app itumie kifurushi cha kwenye simu sio kununua sms moja moja.
 
Bro kama unadhani uko sahihi subiri watakuja otherwise endelea kutumia sms app kisha weka contact zako kwenye group ndani ya simu watumie jumbe watu wako.

Ila kama uko siliazi nenda kanunue bulk SMS kwa provider wa bulk sms kama beem na wengine wana web app ambayo humo unaweza tuma sms kwenye list ya watu wako. Kama hutaki hiyo unaweza intergrate na app ULIYO unda mwentewe kwa ui uipendayo wewe.

Labda kama sijakuelewa ila kama ni hivyo ulibyoandiia, hakuna offline bulk SMS siujui labda waje hapa kutuambia ikoje
 
Hii ipo mkuu nakutumi Link PM inaitwa uhuru bulk sms unangia kwenye website unajisajiri then kuna apk unaidownload kwenye simu. Ukisha install una login then unaanza kutuma sms kwa kutumia bulk sms bando ya SIM card yako.

Wateja wanaweza kukujibu na mkachat vizuri, SMS zinakuwa za kawaida na receiver ataona namba yako ambayo ndio unatumia kutuma sms.

Mfumo huu kwa mwaka unalipia 100000 TZS na SMS ni unlimited.

Tuwasiliane: 0688 284 736
 
Offline ipo kuna niliyopata sehemu changamoto yake haijaboreshwa vizuri, ukituma sms huoni progress yoyote
 
Bro hivi unaelewa mechanusm ya bulk SMS au unaongelea kitu kingine tofauti hiyo unafanyaje kazi mkuu mlolongo wa kusajili sender name umo?
 
Hii ipo mkuu nakutumi Link PM inaitwa uhuru bulk sms unangia kwenye website unajisajiri then kuna apk unaidownload kwenye simu. Ukisha install una login then unaanza kutuma sms kwa kutumia bulk sms bando ya SIM card yako.

Wateja wanaweza kukujibu na mkachat vizuri, SMS zinakuwa za kawaida na receiver ataona namba yako ambayo ndio unatumia kutuma sms.

Mfumo huu kwa mwaka unalipia 100000 TZS na SMS ni unlimited.

Tuwasiliane: 0688 284 736
Kama ndio hivi hamko serious full stop
 
Kama ndio hivi hamko serious full stop
Google uhuru bulk sms
Screenshot_20220102-172628.jpg
 
Nachojua Mimi bulk SMS inakupa uwezo wa wewe kusajili jina lako tunaliita sender name au sender addresses wanaotoa huduma ya bulk SMS Wana portal na API zao ambapo ukijisajili unaweza ku add contact zako kwenye hiyo portal na unaweza lipia kiasi chochote depend na sms unazotaka kama ni package ya sms 100 unalipa pia unaweza tengeneza app au web app yako na ukafanya integration ya hiyo API.

UTUMAJI WA BULK SMS UNAITAJI INTERNET SIKU ZOTE TUSIDANGANYANE HAPA.

KWANZA APP YA AKO IKIWA OFFLINE YAANI HAIJA HOSTIWA HUWEZI TUNA BULK SMS NAJUA MAANA YA BULK SMS LAKINI HIYO MNAOONGELEA HAPA NI MAGROUP YA SMS UNATENGENEZA KWENYE SIMU YOYOTE NA HAUTAWEZA CHANGE NUMBER YA MTUMAJI KUWA JINA TU.

NB HATA UMILIKI WA MAJINA YANASAJILIWA BRELA.

WANACHOFANYA HAPO KWENYE HIYO APP YENU SIJU8 NI NINI LABDA MNIPE MECHANISM YA HIYO MNAITA BULK SMS APK
 
Hii ipo mkuu nakutumi Link PM inaitwa uhuru bulk sms unangia kwenye website unajisajiri then kuna apk unaidownload kwenye simu. Ukisha install una login then unaanza kutuma sms kwa kutumia bulk sms bando ya SIM card yako.

Wateja wanaweza kukujibu na mkachat vizuri, SMS zinakuwa za kawaida na receiver ataona namba yako ambayo ndio unatumia kutuma sms.

Mfumo huu kwa mwaka unalipia 100000 TZS na SMS ni unlimited.

Tuwasiliane: 0688 284 736
nmetuma sms kupitia gateway yenu toka sa 10 jioni, ila mpaka sasa bila bila. Sms zinaonekana zimetumwa ila hazija deliver.
 
Hii ipo mkuu nakutumi Link PM inaitwa uhuru bulk sms unangia kwenye website unajisajiri then kuna apk unaidownload kwenye simu. Ukisha install una login then unaanza kutuma sms kwa kutumia bulk sms bando ya SIM card yako.

Wateja wanaweza kukujibu na mkachat vizuri, SMS zinakuwa za kawaida na receiver ataona namba yako ambayo ndio unatumia kutuma sms.

Mfumo huu kwa mwaka unalipia 100000 TZS na SMS ni unlimited.

Tuwasiliane: 0688 284 736
iyo ni group sms

bulk sms hua na custom sender name na hua huwezi ku reply, mfano meseji za Tigo, Benki, Dawasco, zile ni bulk

izo unazosema wewe ni group sms
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom