Mwenye buku la karibu anitumie fasta

Mwenye buku la karibu anitumie fasta

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,355
Reaction score
13,146
Nina shida jamani mwenye buku anitumie sina chenchi kwa hapa...
 
weka account no ya crdb nikutumie kwa sim banking kada!
 
nenda popote palipo na tigopesa uchukue nkrudi tawalipa kanyaboya wewe.
 
Muuza madafu anadai hana chenchi... Natumia Z-Pesa...
 
Back
Top Bottom