Mwenye anwani ya huyu jaji

Leo mahakama kuu ya Kenya imetengua ofisi ya "presidential advisors" ambao Ruto aliwateua watu 21 , ikisema teuzi hizo zilikua kinyume na katiba.


View: https://x.com/i/status/2014259019343708532
Mahakama za Tanzania ,majaji ni vidampa wa CCM .

Nafasi za kuteuliwa zote inabidi umsifie rais na uwe chawa .

Huyu Hamidu Mwanga alishahudumu tume ya uchafuzi Zanzibar akishirikiana na jizi lingine lililokua linaitwa Jecha kupindua matokeo ya Maalim Seif 2015.
 
Zinahitajika pia taarifa za watoto wake, wanasoma wapi ili vijana wenzao wa Gen Z wakawatembelee awamu ijayo kudumisha mahusiano .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…