Ninaye baba yangu asiyeshindwe kamwe.... Ni kibao kilichobamba na kuitambulisha bendi hii ya muziki wa injili. Albamu yao sijui iliitwaje na hili kundi haijulikani siku hizi lipo au limesambaratika