Mwenye ajira zake atuajiri

Mwenye ajira zake atuajiri

haya bana Msimamizi Wa Kikosi Cha Mashambulizi Ya Wahanga Wa Ajira
Sasa Unaujuzi Gani Wewe maana Naona Umeandika "UJINGA SIPENDI?"
 
Ajira zipo wewe sema qualification zako + Experience please... afu ujinga ndo nn?
 
Ajira zipo wewe sema qualification zako + Experience please... afu ujinga ndo nn?

experience cashier qualification bachelor of account
ha ha mi kanifurahishe alivyoweka mkwara
 
haya bana Msimamizi Wa Kikosi Cha Mashambulizi Ya Wahanga Wa Ajira
Sasa Unaujuzi Gani Wewe maana Naona Umeandika "UJINGA SIPENDI?"

anajua alichoandika ni cha kijinga ndio maana, huwezi kutafuta kazi husemi umesoma nini,lini,uzoefu kiasi gani etc
ujinga hapendi na pia aache hata sisi ujinga hatupendi.
 
Thanks for those whom asked ujinga ni nn you know on this networks a someone can post a really and seriouslly issue but some people become to satire him/her yeah it's really i need a job for those who want to enable to have a work pls contact with me via 759372822 siku zote wanasema atakaye kuinua kimaisha ni mtu baki wala siyo nduguyo asanteni sana wadau.
 
''ujinga hapendi'' amemaanisha kama huna jambo la kumsaidia kulingana na shida yake usipost chochote au kuzua mijadala inayomaliza muda bila manufaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom