Mwenge wa uhuru kuzindua baa!!

Mwenge wa uhuru kuzindua baa!!

Hakuna mradi wowote uliozinduliwa na Mbio za mwenge uliodumu hata miezi 6 , hiyo bar ijiangalie
Dah.. Kuna watu munawaza kama muko kaburini.. Sasa Mwenge umeziduma miradi ya watu kama mashule na motelihadi leo yapo yanatengeneza hela. Eti miezi sita. Acheni kutujazia saver la JF bure.
 
Siku ya tarehe 12-07-2018 majira ya asubuhi nilikutana na adha kubwa ya usafiri maeneo ya mbezi goba. Nilipouliza nini sababu ya hiyo adha, nikajibiwa kwamba mwenge wa uhuru unaweka jiwe la msingi kwenye baa iliyopo karibu sana na barabara hivyo wamelazimika kuiblock barabara. Je ni halali mwenge uzindue hadi baa!!??
Una uhakika na ulichoandika? au unataka matatizo wewe
 
jana tumeelezwa kwamba,kwa malengo tuliyojiwekea tumefikia asilimia 49 ya kuanzisha viwanda uwenda na hiyo bar himo
 
Taarifa yako haina ukweli, tarehe 12 Julai 2018, MWENGE uliamkia MBAGALA Zackeem ambako ulikesha pia asubuhi hiyohiyo MWENGE ulikabidhiwa kwa uongozi WA mkoa WA Pwani eneo LA Kongowe mpakani Temeke na Mkuranga. Mkianza kudanganya ujaribu kuwa makini katika kuweka kumbukumbu
Acha upumbavu wa kutetea kila kitu,mnaudhi sana nyie.MWENGE UMEZINDUA BAR KWELI HAPA GOBA BAR YENYEWE INAITWA TRIPLE B IPO HAPA GOBA OYSTERBAY.....Mwenge umezindua bar ya mtu tena mtu binafsi.
 
Siku ya tarehe 12-07-2018 majira ya asubuhi nilikutana na adha kubwa ya usafiri maeneo ya mbezi goba. Nilipouliza nini sababu ya hiyo adha, nikajibiwa kwamba mwenge wa uhuru unaweka jiwe la msingi kwenye baa iliyopo karibu sana na barabara hivyo wamelazimika kuiblock barabara. Je ni halali mwenge uzindue hadi baa!!??
Kwani Katiba inasema Mwenge umepangiwa kuzindua nini?
 
Dah.. Kuna watu munawaza kama muko kaburini.. Sasa Mwenge umeziduma miradi ya watu kama mashule na motelihadi leo yapo yanatengeneza hela. Eti miezi sita. Acheni kutujazia saver la JF bure.
nipe ushahidi wa shule iliyofunguliwa na Mwenge wa uhuru na ikaendelea mpaka leo
 
Taarifa yako haina ukweli, tarehe 12 Julai 2018, MWENGE uliamkia MBAGALA Zackeem ambako ulikesha pia asubuhi hiyohiyo MWENGE ulikabidhiwa kwa uongozi WA mkoa WA Pwani eneo LA Kongowe mpakani Temeke na Mkuranga. Mkianza kudanganya ujaribu kuwa makini katika kuweka kumbukumbu

hahaha watu wanakumbukumbu kumbe du
 
Taarifa yako haina ukweli, tarehe 12 Julai 2018, MWENGE uliamkia MBAGALA Zackeem ambako ulikesha pia asubuhi hiyohiyo MWENGE ulikabidhiwa kwa uongozi WA mkoa WA Pwani eneo LA Kongowe mpakani Temeke na Mkuranga. Mkianza kudanganya ujaribu kuwa makini katika kuweka kumbukumbu

MAFILILI inawezekana maelezo yako ni sahihi pia ila nadhani mtoa mada amekosea kunukuu tarehe ya tukio tu lakini ni kweli wakimbiza Mwenge wetu wa Uhuru waliweka jiwe la msingi hapo Triple B Pub - Goba Road.
Nadhani ilikuwa Jumanne tarehe 10.07.2018
 
so long as those bar contribute towards national income improvement, sioni ajabu ya mwenge wa uhuru kuwepo pale

KIM JONG UN-LUMUMBA (Ila kwa sasa nipo Tazara hapa kwa MFUGARE FLY OVER)
Kwaiyo hiyo bar niya umma au ya fisadi mkuu...
 
Sio ata wewe unnahaki ya kuuita mwenge uje kukuzindulia chochote utacho anzisha...iwe bar, msikiti, gesti, kanisa nakdharika.
 
Nini bar hata guest house unatakiwa uzindue kwasababu ni biashara halali na inaliingizia taifa pato kupitia kodi, ajira na huduma kwa raia. Kwa taarifa yako wanywaji ndio wanachangia kiasi kikubwa sana pato la taifa kupitia unywaji wao. Wasipokunywa viwanda vitafungwa hivyo kupoteza ajira nyingi sana, kodi na viwanda kufa. Ukiona mtu katoka bar anayumba yumba msaidie kwani ametoka kuchangia pato la taifa tena kwa kutumia bidhaa zinazozaliwa na viwanda vyetu vya ndani. Hapa ni suala la mind set change tu.
Bar Zina Imarisha Viwanda Vya Bia Nchini
 
Taarifa yako haina ukweli, tarehe 12 Julai 2018, MWENGE uliamkia MBAGALA Zackeem ambako ulikesha pia asubuhi hiyohiyo MWENGE ulikabidhiwa kwa uongozi WA mkoa WA Pwani eneo LA Kongowe mpakani Temeke na Mkuranga. Mkianza kudanganya ujaribu kuwa makini katika kuweka kumbukumbu
Hahaha atakuwa katumwa sio bure
 
Bar ni Kiwanda Mkuu
Cha ajabu nini ?
Siku ya tarehe 12-07-2018 majira ya asubuhi nilikutana na adha kubwa ya usafiri maeneo ya mbezi goba. Nilipouliza nini sababu ya hiyo adha, nikajibiwa kwamba mwenge wa uhuru unaweka jiwe la msingi kwenye baa iliyopo karibu sana na barabara hivyo wamelazimika kuiblock barabara. Je ni halali mwenge uzindue hadi baa!!??
 
Huku kwetu mwaka jana walizindua guest

Yaani awamu hii mambo ni ya Ovyo sana.
 
Siku ya tarehe 12-07-2018 majira ya asubuhi nilikutana na adha kubwa ya usafiri maeneo ya mbezi goba. Nilipouliza nini sababu ya hiyo adha, nikajibiwa kwamba mwenge wa uhuru unaweka jiwe la msingi kwenye baa iliyopo karibu sana na barabara hivyo wamelazimika kuiblock barabara. Je ni halali mwenge uzindue hadi baa!!??
Labda wakimbiza mwenge walienda kukata kiu kidogo!😀😀
 
Back
Top Bottom