Mwenge wa haki uhuru na maendeleo ya watu

Mwenge wa haki uhuru na maendeleo ya watu

Papa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
2,023
Reaction score
2,218
Wana CHADEMA, viongozi wa kitaifa. Tengenezeni MWENGE kwa jina la HAKI UHURU NA MAENDELEO YA WATU. Upangie ratiba ukimbizwe kupitia majimbo yote ya uchaguzi. Ukimbizwe na team ya walioenguliwa wenye machungu ya kutosha.

MWENGE Unaenda kuziba pengo la wiki ya adhabu ya mgombea urais, na pia ni counter attack ya wasanii wa CCM. Pesa ya kukimbiza mwenge ipo mikononi mwa peoples!!!!!! Poweeeeeerrrrr. Watu watachangia, msiogope bakuli. Yupo mzee mmoja huwa anachonga mienge ya uhuru. Kama vipi tununue scrap ya mienge ya zamani.

Bado nasisitiza vetting ya mawakala. Weka watu imara, wanaojisimamia, preferably lawyers wasio na njaa. Kwakuwa kuna kuungana mkono kwa vyama, recruit at least 2 kila kituo.
 
Back
Top Bottom