Mwenge stend leo ni vunja bomoa ondoa

Nyie sifieni tu wakati mwenzenu Riz-Uno keshakamata mamilioni kwa kutumia malori yake. Unafanya mchezo na gharama za kampeni.
 
Mara boda boda mara stendi bado daladala ili kupisha mwendokasi
 
hawa machinga sometimes wanayataka wao,hata wajengewe mahali pa kuuzia lazima watarudi maeneo yao flani wanayopenda,na baada ya mda utaona tu wamerudi,kwanini wasikubali kufanya biashara kwenye sehemu wanayopewa maana wao wakitulia sehemu mmoja bila bughda nadhani hata wateja watawafuata wenyewe.
 

tatizo watanzania ni mabingwa wakufanya makosa na kuvunja sheria then tunamazoea ya kuzoea na kujijengea tabia ya kuvunja sheria na linapokuja swala la kuwajibishwa hugeuka kuwa mbogo.

MKUU tukiachana na serikali pale MWENGe kuna wafanyabiashara wamepanga flem kwa mwezi wanalipa laki 5 na bado tra wanalipa kodi na biashara wanayofanya au bidhaa wanazo uza wao ni sawa kabisa na wanazo uza hao wenyevibanda na meza tena wengine wanapanga biashara mlangoni kabisaa.
wao wanatoa Hera kwa kesi na viongozi WA ccm wanagawana na wao ndio wanauza zaidi ya wenye maduka sasa jee haki yawanye maduka IPO wapi??

na mwisho kila sehem inakazi yake .
wafanya biashara wanaiharibu sana stend ya MWENGE .ukifika jioni wanatandika biashara mpaka getini yanapoingilia magari unaweza ukafika bamaga ukakutana na foleni likisababishwa na daladala zinazoingia STENDI zinazotoka BAGAMOYO rod nazinazotokea bamaga ndani hakuna nafasi .

jeee nikipi kwetu ni chema.
 
kama nia ni kupisha magari ya mwendo kasi je hayo magari yatajaa dar yote?

mkuu huwa likianzishwa jambo jipya huwa wanaweka mbwembwe zote ili wizara husika ionekane eti ipo makini kiutendaji
 

Hahahahaha I like it jinsi unavyomjibu kwa hoja ndo naan watu maakaman wanashindw kesi kwa mambo madog kama hayo "kichw maji kumbe hajui kuw kichw kinamji asilimia 78%"
 
Life is not fair wahujumu uchumi wenyewe walaaaa vidaga vinaonewa kweli ccm 2015 mtakuja kutuambia nini? Barabara hahaaa mngekuwa mnafuatilia mambo yote hivi tungekuwa mbali hayo kwenu nyie ndiyo ya umuhimu serikali gani ya kishenzi namna hii
 

ni kwel una point waondolewe pale kwanza hawatoi kodi na wenye maduka ndo wanatoa na hawauzi kama vibanda lazma kila sehemu pawe na utaratibu wake kwanza wanachafua mazingira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…