Mwenge stend leo ni vunja bomoa ondoa

Na sidhani kama Zembwela ana Diploma au Shahada ya uandishi wa habari lakini ni mtendaji kuliko hao wenye ma vyeti
 
Nipi week mtaona hali itarudi kama kawaida kinachofanyika pale hao wanoweka mabanda pale wanalipa kiasi fluni kwa qale waaimamizi kila siku iki wendelee na biashara yao pale.
 
Nyie msalimieni zembwela tu badala ya kuomboleza raba za mbao mtakazo pigwa mtaani wale watu wakikosa ajira!
 
Jana kariakoo kulikuwa kuzuri asubuhi, vibanda vya mitaani na wachuuzi wa barabarani hawakuwepo. Jioni walirudi kama kawaida.
 
Habari wana Jf!
Naomba mtu mwenye namba ya Zembwela msanii na ambaye anafanya kazi ya utangazaji East Africa Radio. mwenye nayo ani pm au nitumie ktk 0716-844978
 
Nyie msalimieni zembwela tu badala ya kuomboleza raba za mbao mtakazo pigwa mtaani wale watu wakikosa ajira!
Nami nampongeza sana zembwela. Pia napongeza uamuzi wa kuzuia bodaboda na bajaj katikati ya jijj. Lazima tuwe na utaratibu ili nasi tuonekane wastaarabu. Jiji gani kila mahali kunanuka? Jiji gani milokoteni inaingia hadi katikati ya jiji? Inawezekana kabisa kuwa na miji na majiji yaliyopangiliwa.
 
mi.nina ya mzee mengi nikupe umuulize?
 
me nnayo ya mkewe. vp itafaa?
 

namkubali sana kaka yangu zembwela ila kwa hili yupo wrong na hao waliovunja..,.mnajua madhara yake, ngojeni roba za mbao, kuibiwa visim vyenu
 
Ukienda kukaba nenda ila ukifika jela tu uhamisho iringa na singida kwenda kupasua mawe kwa ajili ya reli
 
Kama ni rubber namba yake ni 8 na nusu, ila kama wanchoma-kumoyo anavaa namba 10!
 

Wazo lako ni zuri lkn kwa hapa kwetu utekelezaji ndio shida (it is not feasible), watu watakuwa wananunua kwa wanaoshika mikononi na wale wenye frames hawatapa wateja na matokeo yake ni kama yale yale ya Machinga complex.
 
kama ubungo walirudi basi hapo mwenge ni nguvu za soda.
 

The comedy (sasa hivi Original Comedy), waliwahi kwenda kufanya sala kwenye daraja la mto Ruvu, wakakemea san baada ya kuona limekaa muda mrefu likijengwa bila kuisha,....., baada ya hapo muda mfupi lile daraja lilikamilika ujenzi wake! Media media media ikitumika sawasawa ina nguvu kuliko hata serikali!
 

Mwanza walisha salimu amri machinga hadi mlangoni kwa mkuu wa mkoa na wanaheshimiwa mbaya!
ukiputa makoroboi kuna watu maduka yamewashida na wamefunga na kuwa chinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…