Mwenge kuna nini Jamani!!

ndio maana nakutana na watu wengi wanaomba nauli mwenge.
 
Me mwenyewe mchumba wangu, kipenzi cha roho yangu nilikutana nae Mwenge,
 
Mwenge hatari sana kuna barabara maarufu:-


Sam Nujoma Road
Ally Hassan Mwinyi Road

Nanyinginezo kama Shekilango Road zote hizi
ni rahisi kufika Mwenge. Ila Mwenge kuna msongamano sana wa watu kumbe utafiti
umeanza zamani !!!
 
Wakina dada wa siku hizi ukiwauliza tuonane wapi bila shaka atakuambia tuonane Mwenge, mambo ya kukutana beach yameshapitwa na wakati!!

nina mashaka kama unafahamu umuhimu wa kwenda beach
 
nina mashaka kama unafahamu umuhimu wa kwenda beach

sifahamu mkuu, hata hivyo mada haikulenga kujua umuhimu wa kwenda huko, si vibaya ukatuelimisha pia,,
 
we jifanye tu unafanya utafiti, hivi mnajua Ngoswe wa kwenye kile kitabu cha MAPENZI KITOVU CHA UZEMBE alipoteza nyaraka zake maeneo ya wapi? Wachunguzi wa mambo wanasema ilikua MWENGE,

Sasa hivi panaitwa "MWENGE KITOVU CHA UZEMBE"

Duh hii kali
 
mwengeeeeeeeeee chezea mwenge wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…