Mwenge kuna nini Jamani!!

Mwenge ni sehemu rahic kuifikia ndo maana inakua makutano junction,kwahyo na wapenzi wanakutana pale kuelekea huko ma beach..
Ila pia mwenge pabaya jaman unaweza ukatumia mpaka nauli usipokaa vzuri,maana ukigeuka huku viatu,huku nguo lazma uchanganyikiwe
 
we jifanye tu unafanya utafiti, hivi mnajua Ngoswe wa kwenye kile kitabu cha MAPENZI KITOVU CHA UZEMBE alipoteza nyaraka zake maeneo ya wapi? Wachunguzi wa mambo wanasema ilikua MWENGE,

Sasa hivi panaitwa "MWENGE KITOVU CHA UZEMBE"
 
..Mi nkajua ni ule wapinzani wanaotaka UKIMBIzwe kila Baada ya Miaka 5...ili kupunguza matumizi yasiyo ya lazima
 
yaani unafikiri tutakuamini hivi bila kutuwekea picha ya kutudhihiishia kwamba ni kweli upo Mwenge unasagula.................bandika picha haraka sana

kapicha kamegoma kuaplodika!loh!
 
mbona ni pa kawaida tu jamani? hata kariakoo watu wanajiremba na kufanya makutano, nini mwenge?
 

Nafikiri pia guest nyingi ziko maeneo hayo....yoote hiyo including sinza huwa naiita killing zone
 

we acha tu! Miye hujikutaga nnamianne tu za nauli ! Pabaya palee!!
 
  1. kuna mtoto wa bosi
  2. kuna yule uliyenae mbali
  3. unatamani wa mwenge
tuachie na sisi bhana...kha!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…