Vitu gani muhimu kuja navyo mkuu
Vitu gani muhimu kuja navyo mkuu
uje na hela ya registration 390,000/ ilikuwa 380 nafikiri wameongeza hyo 10. pia uje na hela ya chumba angalau miezi 3 endapo utakosa hostel, vyumba vinaanzia sh. 40,000/ msosi nje ya chuo kuanzia 1000/.
hakikisha unakuja na vyeti vyote orginal na copy zake academic na birth, masomo yanaanza rasmi tarehe 2nov hakikisha hadi tareh 30/10 umesajiliwa hii semister ukichelewa week tu ni shiida watu watakuwa wamesoma mbaya mwecau wanafata ratiba yao kama walivyoiweka.
sijui kama nimekujibu mdogo wangu?
Nadhani mtapigia kura chuo
karibuni chuo chakikatoliki, kaeibuni sana , walochaguliwa waniulize maswali ya hapa na pale. karibuni Moshi
karibuni chuo chakikatoliki, kaeibuni sana , walochaguliwa waniulize maswali ya hapa na pale. karibuni Moshi
Admission Forms Znatolewa Lini Au Zko Tayari Mtandaoni?
Mazingira mazuri cn ila huwe tayaribkusoma yaani nimemaliza hapo mwaka huu ni mkikimkiki haswa......
Nadhani mtapigia kura chuo
Admission Forms Znatolewa Lini Au Zko Tayari Mtandaoni?
mkuu mwenge wako faster kuliko vyuo vyote nadhani, watatuma sms kwa wote ya maelekezo, admission form watatuma kwa anwani ya poata ulotumia kwa mwenge wee kesho haiishi ushapata usiwaze