Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,449
- 10,761
Kuyaacha hapo na kuyatoa rush hour kuna faida ama hasara... wanapunguza gharama za uendeshaji hususan hayo mabasi marefu ni gharama sana kuyaweka barabarani likiwa na abiria wachache - kumbuka ni level seat hakuna kusimama.
Seriously? Hayo mabasi ni kwa ajili ya kubananisha abiria ka fusso a mihogo Mkuranga? So ni BORA yapaki, watu wakose huduma kuwahi kwenye shughuli za kiuchumi?? Au sijakuelewa ni sarcasm...... wanapunguza gharama za uendeshaji hususan hayo mabasi marefu ni gharama sana kuyaweka barabarani likiwa na abiria wachache - kumbuka ni level seat hakuna kusimama.
AiseeKwa sasa haiwalipi labda serikali iingilie kwa kutoa ruzuku...
... exactly na ndivyo yalivyotengenezwa. Nafasi kubwa ni ya kusimama badala ya kukaa.Seriously?
Hayo mabasi ni kwa ajili ya kubananisha abiria ka fusso a mihogo Mkuranga? So ni BORA yapaki, watu wakose huduma kuwahi kwenye shughuli za kiuchumi?? Au sijakuelewa ni sarcasm...
Everyday is Saturday........................... 😎
... uko sahihi Mkuu; huo ndio uhalisia; namba hazidanganyi.Kwa sasa haiwalipi labda serikali iingilie kwa kutoa ruzuku.
Basi refu 1=siti 42×650=27,300
Mafuta si chini ya lita 20×2000=40,000.
Yaani hata ukishusha abiria wote ubungo wapande wengine utapata 54,600
Kwa maana umepata 14,600.hapo haujalipa dereva, wala haujafanya service kwa maana hiyo kwa sasa biashara ni ngumu.
Siwatetei ila huo ni uhalisia. tunaofanya biashara hii tunajua changamoto zilivyo kwa sasa.
Kwa sasa haiwalipi labda serikali iingilie kwa kutoa ruzuku.
Basi refu 1=siti 42×650=27,300
Mafuta si chini ya lita 20×2000=40,000...
... ni hasara; kumbuka hata rush hour kipindi hiki cha Corona bado ni level seat. Kuna mdau kadadavua vizuri hapo juu gharama za kuyaendesha.
... tatizo jinsi vituo vilivyojengwa sio rafiki kwa mabasi ya daladala ambayo milango ya abiria iko kushoto wakati vituoni wanatakiwa kushukia kulia.Wakati huu ingekuwa ni hatua muafaka kama mabasi makubwa ya daladala yangepewa leseni za muda za kusafirisha abiri kupitia barabara za mwendokasi. Mlundikano wa abiria KImara mwisho, Feri na baadhi ya vituo vya njiani huwachukua abiria kusubiri usafiri wa level seat wa kati ya saa moja hadi tatu kituoni, kiasi cha kufifisha na kupoteza umuhimu wa dhana ya kuzuia mikusanyiko ili kujikinga na mambukizi ya virusi COVID - 19, na Huduma ya Usafiri wa mwendo kasi.
Je, miundombinu ya BRT inaruhusu basi za kawaida kushusha na kupakia abiria?.Wakati huu ingekuwa ni hatua muafaka kama mabasi makubwa ya daladala yangepewa leseni za muda za kusafirisha abiri kupitia barabara za mwendokasi...
Mradi huo kwa sasa si mkombozi tena, bali ni kero kutokana na adha wanazozipata wananchiHawa wamiliki wa huduma ya mwendokasi ni wahujumi uchumi. Inakuingia vipi akilini kuona magari mengi yameegeshwa na huku abiria wamepangwa foleni. Mamlaka husika fanyeni maamuzi magumu.
View attachment 1459885View attachment 1459886
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wakati ule wanapakia watu150 na kuendelea walikuwa wanafurahia tu faida zaidi ya Mara 10 now ni kipindi Cha kusaidia wananchi ni kwa masaa machache wangekuwa wanayatoa hapo kwa route mbili kwa sikuKwa sasa haiwalipi labda serikali iingilie kwa kutoa ruzuku. Basi refu 1=siti 42×650=27,300
Mafuta si chini ya lita 20×2000=40,000.
Yaani hata ukishusha abiria wote ubungo wapande wengine utapata 54,600 Kwa maana umepata 14,600.hapo haujalipa dereva, wala haujafanya service kwa maana hiyo kwa sasa biashara ni ngumu.
Siwatetei ila huo ni uhalisia. tunaofanya biashara hii tunajua changamoto zilivyo kwa sasa.
Hapana,... tatizo jinsi vituo vilivyojengwa sio rafiki kwa mabasi ya daladala ambayo milango ya abiria iko kushoto wakati vituoni wanatakiwa kushukia kulia.
Labda waendeshee kulia kama mataifa mengine lakini pia italeta disaster na pia italazimu mabasi mengine yote ya mwendokasi yaondolewe barabarani zibaki daladala peke yake.
Tatizo lingine, vituo the way vilivyojengwa kuna proportionality kati ya kimo cha kituo na mlango wa gari so daladala hazita-fit. Kwa uchache changamoto ni hizo.
UDA ilikuwa hivyo hivyoWana save mafuta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa sasa haiwalipi labda serikali iingilie kwa kutoa ruzuku. Basi refu 1=siti 42×650=27,300
Mafuta si chini ya lita 20×2000=40,000.
Yaani hata ukishusha abiria wote ubungo wapande wengine utapata 54,600 Kwa maana umepata 14,600.hapo haujalipa dereva, wala haujafanya service kwa maana hiyo kwa sasa biashara ni ngumu.
Siwatetei ila huo ni uhalisia. tunaofanya biashara hii tunajua changamoto zilivyo kwa sasa.