A
Anonymous
Guest
Mwendokasi wa Malori ya mchanga na kokoto imekuwa ni kero kwa barabara ya mji mwema kuelekea dege/kimbiji ajari zimekuwa ni kawaida kupinduka, kugonga magari madogo au pikipiki na hata kusabisha kifo.
Nadani kungekuwa na askari wenye kamera ya kudhibiti mwendo kasi maeneo tofauti askali wetu wamekuwa wakijikita sana maeneo kivuko cha wanafunzi kibugumo basi tena si full time.
Tunaomba sana kuwe na mpango mkakati kupunguza hii adha