Mwendokasi katika Mtandao wa Yahoo

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Shiny new buses challenge chaotic old ways in Tanzania

a0b28c717af2e903a429a4a84f195aa83d9ddd1e.jpg

A Dar Rapid Transit (DART) bus travels down a street in Dar es Salaam

Dar es Salaam (AFP) - Sweaty passengers crammed into battered buses and stuck in traffic jams look on enviously as Tanzania's shiny new commuter buses fly by on the pristine asphalt of dedicated highway lanes.

In Dar es Salaam, the East African country's biggest city of five million people, rush hour has always meant chaos, until now.

The first phase of a new bus rapid transit system opened earlier this year offering a swift, clean alternative to the traditional "dala dala" buses, a twist on the English word "dollar" coined in the 1970s when the system started as an answer to inadequate public transport.(Hivi Dala dala imetokana na neno Dollar kwa Kizungu?)

The new route cuts through 20 kilometres (12 miles) of the seaside city with two lanes of tarmac running down the middle of the existing highway.

When completed the route will extend for 130 kilometres, separated from the traffic by a crash barrier that prevents motorists from taking advantage of its free-flowing smoothness.

- 'Unique in East Africa' -

"Every day, hundreds of thousands of people lose time, and therefore money, in traffic jams, which have become a very big problem in Dar es Salaam," says Robert Lwakatare, head of the government agency responsible for overseeing the Dar Rapid Transit (DART) project.

A recent study estimated that traffic jams cost the Tanzanian economy $188 million (167 million euros) a year.

"It's amazing," says one young passenger who gave just her first name Judy, as a Chinese-made bus with bright blue-tinted windows pulls up to the platform.

There are 140 buses and 27 new stations in the transit system, enough to meet demand for the time being.

"Before I took two to two and a half hours to go into the centre of Dar es Salaam, and now it takes me 30 minutes," Judy said after scanning her ticket at an automated gate.

"This might seem normal in Europe, but it's not in our countries," says Lwakatare. "All this is unique in East Africa."

The clean vehicles themselves are a far cry from the dilapidated dala dalas, of which there are 7,000 registered in Dar es Salaam today, according to African Development Bank figures.(Huyu Mwandishi hafahamu magari yanasajiliwa wapi mpaka apate taarifa ADB)

The drivers on the new buses wear short-sleeved shirts, ties and neatly pressed trousers and politely ask passengers to sit before starting off. Aboard the dala dalas, passengers find any space they can, while drivers shout and conductors hang precariously from open doors.

- 'People still need us' -

The first phase of construction cost $290 million (260 million euros), mostly funded by a World Bank loan, and Tanzania is relying on the African Development Bank to fund the remainder of the project.

Lwakatare says that around 100,000 people already use the new buses every day, a figure predicted to rise to 300,000 in the months ahead.

Costing 400-800 Tanzanian shillings ($0.18-0.37, 16-32 euro centimes) the ticket price is a little more expensive than on the dala dalas, which are destined to be phased out as the new system comes online.

Part of the budget is earmarked for compensating dala dala owners, who have also been included in a private sector consortium to operate the network in partnership with the government DART agency.

A dala dala tout named Justin, in faded jeans and an old green and grey jumper, views the new buses and what they mean for his future with equanimity.

"For the moment, people still need us because the blue bus does not go everywhere and are a bit more expensive."

"Later, we'll see," he says with a shrug, "but I think there will always be a need for a cheaper service."

Source: yahoo.com
 
This is very wrong information: "Dala Dala" does not mean "Dollar" DALA DALA lilitokana na nauli iliyokuwa inatozwa miaka ile ikiwa na shilingi 5 ya pembe tatu, watanzania walikuwa wakiita jina dala. Baada ya mfumo wa mabasi madogo kuanza nauli ikiwa ni dala, yaani shilingi 5. wapige debe wakawa wanaita wateja kwa kuwaambia nauli ni dala tu, yaani kariakoo ni dala tu, dala dala post, dala dala kariakoo na nk. kumbuka kipindi kile kulikuwa na mabasi ya ikarus ambayo nauli ilkuwa ni zaidi ya sh. 5. Baada ya hapo mabasi madogo yakaitwa dala dala kwa sababu nauli yake ilikuwa ni dala. ikumbukwe kuwa baadae magari aina ya chai maharage yalikuja. nayo yakaitwa CHAI MAHGARAGE, mpaka sana ufafiri km huu popote unapotumika unaitwa chai maharage, hata kule zanzibar miaka miwili iliyopita yalikuwa yakiitwa chai maharage.

Waandishi wavivu waache kupotosha umma.
 
"Dala Dala" does not mean "Dollar" DALA DALA lilitokana na nauli iliyokuwa inatozwa miaka ile ikiwa na shilingi 5 ya pembe tatu, watanzania walikuwa wakiita jina dala. Baada ya mfumo wa mabasi madogo kuanza nauli ikiwa ni dala, yaani shilingi 5.

Shikula wewe ndiyo upo wrong,
  1. Hatujawahi kuwa na Shs 5 yenye pembe tatu
  2. Dala dala ilitokana na equivalence ya 1 Us$ to 5 TShs wakati huo, ndipo fedha hiyo ikawa nicknamed dala :) /ˈdɒlə/), hivyo basi katika kutangaza nauli bus conductors wakawa wanasema dala dala repeatedly ndipo ikazoeleka na kuwa jina la usafiri huo, kama ilivyokuwa kwa fedha zingine mf. sha 20 wakati huo iliitwa paundi, ikiwa ni equivalence ya Shs 20 = 1 Pound ya UK
 
Sorry nilikuwa na maana ya pembe tano
 
This is very wrong information: "Dala Dala" does not mean "Dollar" DALA DALA lilitokana na nauli iliyokuwa inatozwa miaka ile ikiwa na shilingi 5 ya pembe tatu, watanzania walikuwa wakiita jina dala. Baada ya mfumo wa mabasi madogo kuanza nauli ikiwa ni dala, yaani shilingi 5. wapige debe wakawa wanaita wateja kwa kuwaambia nauli ni dala tu, yaani kariakoo ni dala tu, dala dala post, dala dala kariakoo na nk. kumbuka kipindi kile kulikuwa na mabasi ya ikarus ambayo nauli ilkuwa ni zaidi ya sh. 5. Baada ya hapo mabasi madogo yakaitwa dala dala kwa sababu nauli yake ilikuwa ni dala. ikumbukwe kuwa baadae magari aina ya chai maharage yalikuja. nayo yakaitwa CHAI MAHGARAGE, mpaka sana ufafiri km huu popote unapotumika unaitwa chai maharage, hata kule zanzibar miaka miwili iliyopita yalikuwa yakiitwa chai maharage.

Waandishi wavivu waache kupotosha umma.
Tuweke hiyo shilingi tano yako ya pembetatu hapa tuione.

Halafu tuambie nikwanini shilingi tano iliitwa "dala" kama sio exchange rate ya dola kipindi hicho ilikuwa US$1 = Tsh 5/=.

Nb: Jifunze kujifunza kwanza kabla hujaposha watu ukiwaaminisha unajua kumbe na wewe hujui.
 
No.1 upo sahihi kwani tsh.5 hiyo ilikuwa na zaidi ya pembe tatu lakini no.2 umechemka na alichosema mwenzio ndio sahihi

Hapana ndugu, nipo sahihi, hebu siku moja mtafute mtu anaitwa Jimmy Chika kama sijakosea ni msemaji wa bendi ya Mlimani Park, ni miongoni mwa watakaokupa vema historia ya neno hilo (SOMA HAPA PIA)
 
This is very wrong information: "Dala Dala" does not mean "Dollar" DALA DALA lilitokana na nauli iliyokuwa inatozwa miaka ile ikiwa na shilingi 5 ya pembe tatu, watanzania walikuwa wakiita jina dala. Baada ya mfumo wa mabasi madogo kuanza nauli ikiwa ni dala, yaani shilingi 5. wapige debe wakawa wanaita wateja kwa kuwaambia nauli ni dala tu, yaani kariakoo ni dala tu, dala dala post, dala dala kariakoo na nk. kumbuka kipindi kile kulikuwa na mabasi ya ikarus ambayo nauli ilkuwa ni zaidi ya sh. 5. Baada ya hapo mabasi madogo yakaitwa dala dala kwa sababu nauli yake ilikuwa ni dala. ikumbukwe kuwa baadae magari aina ya chai maharage yalikuja. nayo yakaitwa CHAI MAHGARAGE, mpaka sana ufafiri km huu popote unapotumika unaitwa chai maharage, hata kule zanzibar miaka miwili iliyopita yalikuwa yakiitwa chai maharage.

Waandishi wavivu waache kupotosha umma.
Wakati huo makonda na wenzake walikuwa hawajulikani wapo dunia gani, leo wanatupangia masharti ya kuingia dar
 
No.1 upo sahihi kwani tsh.5 hiyo ilikuwa na zaidi ya pembe tatu lakini no.2 umechemka na alichosema mwenzio ndio sahihi
unapomwambia mwenzako kachemka wakati wewe ndio hujui, inashangaza sana ! wewe ndo hujui.
 
Nijuavyo ni jina tu limezuka kama mia tano kuitwa jero au mia kuitwa jiti elfu kuitwa buku,hivyo sina haja ya kumtafuta huyo jimmy chika wala jimmy choka
Hakuna kitu kinachozuka tu, bila kuwa na chanzo au sababu. Jambo la msingi ni kukubali kukosolewa unapokuwa umekosea. Hutapungukiwa na kitu, badala yake utaonekana muungwana. Wakati mwingine tunajifunza kutokana na makosa.
 
Kabla ya vita vya Kagera dollar moja ya kimarekani ilikuwa sawa na shillingi tano ya kitanzania.
Chanzo mimi mwenyewe.
kabla ya vita shilingi haikupitwa sana na dola zilikuwa karibu sawa, baada ya vita shilingi ilishuka sana ikawa inflated kwa kiwango cha 5sh kwa dola moja. kitendo hicho ndio moja ya sababu ya kuua uchumi na viwanda kwa kipindi hicho.
 
Jiulize kwa nini Shs Ishirini iliitwa paundi. Ukipata jibu utajua maana au chanzo cha dala!
Unajua miaka hiyo exchange rate ilikuwa kiasi gani?
Dollar moja ilikuwa Shs ngapi?
Pound moja ya UK ilikuwa Shs ngapi?
 
Shikula wewe ndiyo upo wrong,
  1. Hatujawahi kuwa na Shs 5 yenye pembe tatu
  2. Dala dala ilitokana na equivalence ya 1 Us$ to 5 TShs wakati huo, ndipo fedha hiyo ikawa nicknamed dala :) /ˈdɒlə/), hivyo basi katika kutangaza nauli bus conductors wakawa wanasema dala dala repeatedly ndipo ikazoeleka na kuwa jina la usafiri huo, kama ilivyokuwa kwa fedha zingine mf. sha 20 wakati huo iliitwa paundi, ikiwa ni equivalence ya Shs 20 = 1 Pound ya UK
Haya maisha sijui tulikosea wapi sisi.. Dollar 1 sawa na sh 5 ya kibongo.. Sasa imepanda maradafu.. Sio maradufu tena.
 
Haya nieleze jero,jiti,buku tena kwa kukuongezea hiyo sh.5 mitaani ilikuwa inaitwa gwala hiyo dala ni kuremba tu
Rafiki uwe unakubali kama umekosea. Hakuna kitu kinachozuka bila chanzo.
Mfano: Jero imetokana na neno pajero. Wakati noti ya sh 500 inatoka ndio mashangingi aina ya pajero yanaingia mchini. Kwa hiyo sh 500 ikaitwa pajero na kwa kifupi jero.
 
Ma
This is very wrong information: "Dala Dala" does not mean "Dollar" DALA DALA lilitokana na nauli iliyokuwa inatozwa miaka ile ikiwa na shilingi 5 ya pembe tatu, watanzania walikuwa wakiita jina dala. Baada ya mfumo wa mabasi madogo kuanza nauli ikiwa ni dala, yaani shilingi 5. wapige debe wakawa wanaita wateja kwa kuwaambia nauli ni dala tu, yaani kariakoo ni dala tu, dala dala post, dala dala kariakoo na nk. kumbuka kipindi kile kulikuwa na mabasi ya ikarus ambayo nauli ilkuwa ni zaidi ya sh. 5. Baada ya hapo mabasi madogo yakaitwa dala dala kwa sababu nauli yake ilikuwa ni dala. ikumbukwe kuwa baadae magari aina ya chai maharage yalikuja. nayo yakaitwa CHAI MAHGARAGE, mpaka sana ufafiri km huu popote unapotumika unaitwa chai maharage, hata kule zanzibar miaka miwili iliyopita yalikuwa yakiitwa chai maharage.

Waandishi wavivu waache kupotosha umma.
maneno mengi huku hujui chochote. Dala dala ni sababu ya shilingi tano nauli ambayo wakati huo illikuwa sawa na dollar moja!
 
Endeleeni kuamini mnavyoamini,unajua pajero zimeanza kuja nchini wakati gani na tokea lini pajero ikaitwa shangingi
Nadhani ndugu wewe siyo muungwana unapenda ubishi usio hata na maana.

Pajero kipindi kile ilikuwa bonge la gari. Ndio maana uliimbwa wimbo unaosema nimenunua pajero mtama kwa mashangingi.
 
Back
Top Bottom