Ruge Opinion
JF-Expert Member
- Mar 22, 2006
- 1,838
- 707
Mbishi kama Mzee Jangala.Kwahiyo kwako uungwana ni kukubaliana na maelezo yako? Hamna haja ya kuendelea kubishana kwa jambo lisilo na tija cha muhimu wewe amini unavyoamini basi.
Mbishi kama Mzee Jangala.Kwahiyo kwako uungwana ni kukubaliana na maelezo yako? Hamna haja ya kuendelea kubishana kwa jambo lisilo na tija cha muhimu wewe amini unavyoamini basi.
Sh 5 ina pembe 5???Mbona unalazimisha wkt nilirekebisha hiyo ilikuwa typo error nilikuwa na maana ya pembe 5.
Umenipa tafsiri ya matatu kitu ambacho sikukijua ila umesema hakuna ukweli tusipotoshane kwenye nini?Najaribu kuunganisha dots kwa uelewa wangu dala lala ilimaanisha hiyo shilingi tano ambacho ndicho kiwango cha nauli kipindi hicho kama ilivyokuwa nchini kenya wakilipa shilingi tatu nauli wakaita matatuu ila hili la shilingi tano kuwa ilioriginate kutoka neno dollar hakuna ukweli watu tusipotoshane bure!! kama kitu hujui bora uulize upate ufafanuzi.
Haijawahi kuwa hivyo. Kabla ya matatizo ya kiuchumi kwenye.miaka ya 1980 kulikuwa na sera ya fixed exchange rate. Dollar Karibu Sawa na Sh. 5 na Pound Sawa na Shillingi 20. Ikiwa na maana kuwa viwango vya kubadilisha fedha za kigeni vilibaki vile vile bila kujali hali ya uchumi/soko. Baada ya kuingia IMF na nduguye World Bank sera ikabadilishwa na kuwa floating exchange rate pamoja na Shillingi kushushwa thamani (devaluation). Huo ukawa mwanzo wa Shilingi kuporomoka Kila kukicha.
Hehehehe!!!!Wakati huo makonda na wenzake walikuwa hawajulikani wapo dunia gani, leo wanatupangia masharti ya kuingia dar
Waweza kuwa umekariri lakini asili ya shilling 5 kuitwa Dala ni kutokana na thamani yake dhidi ya UD Dollah na Tsh 20 iliitwa pound kwa sababu hiyo hiyo. Nimezaliwa mwaka 1963Najaribu kuunganisha dots kwa uelewa wangu dala lala ilimaanisha hiyo shilingi tano ambacho ndicho kiwango cha nauli kipindi hicho kama ilivyokuwa nchini kenya wakilipa shilingi tatu nauli wakaita matatuu ila hili la shilingi tano kuwa ilioriginate kutoka neno dollar hakuna ukweli watu tusipotoshane bure!! kama kitu hujui bora uulize upate ufafanuzi.