Mwendokasi jirekebisheni

kasimba123

JF-Expert Member
Apr 18, 2010
1,753
816
Baadhi ya wakusanya nauli especially kituo change Dit geti lakuingilia kituoni lililoko upande wa regency mfanyakazi aliyekozamu leo saa mbili Usiku ukijisahau kuchukua chenji ukiingia ndani ya kituo ukimkumbusha atakuruka Kama hakujui naomba uongozi umuangalia kijana huyu na ajirekebishe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom