Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,658
- 3,746
Ili wakati mnarudi umpandishe mwendo kasi mkae kituoni toka saa 11 mje kufika home saa saba usku.Ndiyo naingia nyumbani kwangu mida hii.
Wife amenunua, nimemkuta ametoa begi lake la nguo anapiga pasi, anataka kurudi kwao anasema " Mashamba Makubwa Nalima umepata mke wewe, niache mimi nirudi nyumbani, nina kwetu!"
Ila mimi sikuwa sehemu yoyote zaidi ya pale Morocco nikisubiri bus tokea saa 12:00 jioni.
Mwendokasi mnatukosea.
Nashauri apewe Mchina.
View attachment 3280091
Wapi wanauza maua? Wape naweza mpeleka shemu wenu kwa ajili ya dinner kesho? Kama unataarifa niPM
Ni mabingwa wa kusifiana na kupongezana kwa mambo ya ki.jinga na yasiyo na tija.Nchi arudishiwe Mjerumani!. Hawa wenye rangi kama yetu hamna kitu. Total failure!
Wapewe CCM kwa sababu wanauchungu nayo hivyo wataitunza na kuiendesha kwa ufanisi.Ndiyo naingia nyumbani kwangu mida hii.
Wife amenunua, nimemkuta ametoa begi lake la nguo anapiga pasi, anataka kurudi kwao anasema " Mashamba Makubwa Nalima umepata mke wewe, niache mimi nirudi nyumbani, nina kwetu!"
Ila mimi sikuwa sehemu yoyote zaidi ya pale Morocco nikisubiri bus tokea saa 12:00 jioni.
Mwendokasi mnatukosea.
Nashauri apewe Mchina.
View attachment 3280091
Wapi wanauza maua? Wape naweza mpeleka shemu wenu kwa ajili ya dinner kesho? Kama unataarifa niPM
Asante mkuuDaaah pole
Nimetoka huko nilikuwa nimeleta CV yangu tu mjini mkuu.Pole nenda mkoani usafiri miguu, AC ya Mungu, vyakula tele, n.k