Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Casie wa macrash,vip SA haujakutana na crash mpya?Kwa hiyo chochote kirefu ni mwendo kasi. Na dushe ndefu hadi magotini pia ni mwendo kasi?
Just ask-thinking aloud
Siyo chochote kirefu... bali chochote kilicho kwenye hali ambayo si kawaida au haijazoeleka...Kwa hiyo chochote kirefu ni mwendo kasi. Na dushe ndefu hadi magotini pia ni mwendo kasi?
Just ask-thinking aloud