Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,405
Kibaya zaidi ni kuzuia daladala kuhudumia sasa chini hatupo juu hatupo ila cha moto tunakionaTatizo wamefanya ni biashara na sio huduma ndo maana hawajali abiria kujazana au magari kutolewa machache kuliko wingi wa abiria hususani kwa mida ya jioni na asubuhi