Tatizo unasubiri basi la moja kwa moja unakoenda, utachoma sana mahindi. Tumia akili, tiketi hiyo hiyo, fanya connection.Mabasi yamepaki abiria wanaangaika usafiri.
Huu ni ushamba waendeshaji wanasababisha usumbufu na kero kubwa.
Badilikeni mtu amekata tiketi anakaa kituoni dakika 30.
Ushamba au dharau
Dr. Shika ulimaanisha "Ushamba" nadhani.. Ila ujamba nalo nenoUjamba ni kuchelewa au?
Tatizo wamefanya ni biashara na sio huduma ndo maana hawajali abiria kujazana au magari kutolewa machache kuliko wingi wa abiria hususani kwa mida ya jioni na asubuhiMleta mada ana point lakini hakuweza kuwakilisha vizuri. Huduma za mwendokasi hazilingani na gharama tunayokipia.
Aliposema ushamba mimi nimemwelewe. Duniani kote mabasi ya Rapid uenda kwa muda uliopangwa regardless kuna abiria au hakuna. Ni mabasi yanayokwenda kwa ratiba siyo kusubiri abiria kujaza. Sasa ushamba wa hawa ni pale wanapoanza kuangalia wingi wa abiria na kuaharibu ratibaWa kijanja ndo UPI kwani?
Kwani wee kabla ya hapo ulikua unatumia usafiri gani?
Rudi uko uko kwny UDA na vidaladala uone thamani ya kutoka nusu Saa kituoni