Mwendesha mashtaka wa kimataifa awasili Ikulu, afanya mazungumzo na Makamu wa Rais

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
http://www.fullshangweblog.com/2016...a-akutana-na-mwendesha-mashtaka-wa-kimataifa/

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa Bw. Serge Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April 13,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa Bw. Serge Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April 13,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa Bw. Serge Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam
 
mkulu akiona ngozi nyeupe hachelewi kutuma watu
 
Huyo ndio aliongoza mashtaka katika mahakama maalumu kuhusu uhalifu wa kivita Yugoslavia ya Zamani ya Slobodan Milosovic

Nakumbuka Pia aliteuliwa na Koffi Annan kuongoza tume ya uchunguzi wa mauaji ya waziri mkuu wa Lebanon Rafic Hariri
 
Kaja kuongea na makamu wa rais, ambae ni MZANZIBAR, huenda inahusu uchaguzi wao huko kwao.
 
Huyo ndio aliongoza mashtaka katika mahakama maalumu kuhusu uhalifu wa kivita Yugoslavia ya Zamani ya Slobodan Milosovic

Nakumbuka Pia aliteuliwa na Koffi Annan kuongoza tume ya uchunguzi wa mauaji ya waziri mkuu wa Lebanon Rafic Hariri
sasa kwa tz kaja kusalimia tu au kuna ujumbe gani kaleta?
 
Huyo ndio aliongoza mashtaka katika mahakama maalumu kuhusu uhalifu wa kivita Yugoslavia ya Zamani ya Slobodan Milosovic

Nakumbuka Pia aliteuliwa na Koffi Annan kuongoza tume ya uchunguzi wa mauaji ya waziri mkuu wa Lebanon Rafic Hariri
aisee kumbe mtu muhimu kwa demcrasia ya zanzibar
 
Huyo ndio aliongoza mashtaka katika mahakama maalumu kuhusu uhalifu wa kivita Yugoslavia ya Zamani ya Slobodan Milosovic

Nakumbuka Pia aliteuliwa na Koffi Annan kuongoza tume ya uchunguzi wa mauaji ya waziri mkuu wa Lebanon Rafic Hariri
Mkuu angalia husije kumfanya mzee shen akatoka unyoya
 
Back
Top Bottom