Mwembe Yanga is dead!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwembe Yanga is dead!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, Jul 25, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  View attachment 59865 Kwa wale wenzangu, waswahili wa Temeke/Tandika mtaukumbuka sana mwembe huu.
  Umekuwapo hata kabla ya uhuru, na mikutano mingi tu ya kisiasa imefanyika katika uwanja karibu na hapo, including ule wa Dr Slaa wa "List of Shame".
  Mtakumbuka vile vile katika mwembe huu bendera ya Yanga ilikuwa ikitawala kwa miaka mingi sana , karibu miongo mitatu au minne iliyopita.
  RIP Mwembe Yanga
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  RIP Mwembe
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  ni uharibifu wa mazingira ama watu wameuua? lol jamani niliishm mitaa hiyo miaka ileee
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,848
  Trophy Points: 280
  Maskini.......ungekuwa hai kama ungekuwa MWEMBE SIMBA....what a shame!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  poor mwembe.....
   
 6. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,963
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Nasikia Dar kuna eneo linaitwa chai juu ya mwembe liko karibu na barabara ya morogoro, huwa najiuliza ni nani hasa mpishi wa hiyo chai.
   
 7. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umekufa baada ya kipigo cha 5-0
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Mbona unaharibu jina la maeneo yangu? unaitwa Muembe chai karibu na nyumbani kwa Marehemu RIP. Sheikh Yahaya Husein. Na Kuna Msikiti mkubwa unaitwa Msikiti wa Muembe Chai Mwaka 2003 Polisi waliwapiga Waislam wa huo Msikiti wa muembe chai kulikuwa na vita kati ya Waislam wa huo msikiti na Serikali unakumbuka mkuu Asante?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. k

  kimondo Senior Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ili kuendeleza Historia ya mwembe Yanga, ni vizuri WanaYanga tupande mwembe mwingine, tuutunze ili uchukue nafasi ya huu unaokauka. Kwa kufanya hivyo Historia ya mwembe huo maarufu na alama muhimu hapa Dar haitopotea
   
 10. R

  Renegade JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Sipati Picha, Mwembe yanga bila mwembe huu..........sijui.
   
 11. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli huu mwembe umezeeka mno! Ila kwa kuuenzi naungana na kimondo upandwe mwembe mwingine na usiwe hii miembe ya kisasa!
   
 12. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Kwa wanaoujua Mwembe Yanga watatofautiana sana na huyu mleta mada maana picha aliyoitoa si wenyewe. Wenyewe upo karibu na kanisa na si kwenye kona kama unavyoonekana huu kwenye picha
   
Loading...