Mwekezaji anahitajika

newbegin

Senior Member
Jun 3, 2016
109
16
Nimeona nirudie hili tangazo ili niweke figures vizuri.

Nina idea ya biashara na nimeiplan katika muonekano tofauti. of course dio idea mpya ila kutokana na contents na strategies nilizozipanga ndo maana naiita NEW IDEA.

Natafuta mwekezaji ambaye ataweza kuwekeza full business investment! Mimi nina idea ila sina Capital japokuwa kuna somewhere nategemea kupata pesa ila sina uhakika ndo maana natafuta mtu mwenye uhakika wa investment na pia kuganya kazi na mtu especially kwa business kubwa na pia kama startup inakuwa ni vizuri zaidi.

kwa hiyo kama kuna mtu ataweza ni kwamba kinahitajika kiwango cha pesa kuanzia 30 millions tshs na kupanda. investment inakuwa kubwa ili kufanya business iwe more serious na pia kupata income inayoeleweka.

Lakin kutokana na income projection nilizocalculate ni kwamba itakuwa inaingiza more than 50 millions per month. so per year after all cost deducted still inakuwa ni pesa nzuri.

Nina uhakika na projected income kwa sababu ya maketing strategies pamoja na contents zangu.so as long as it has been my dream,my goal and i have a great vision on this business,the projected income may be more than that! IDEAS MAY NOT BE NEW BUT CONTENTS AND STRATEGIES IS WHAT MAKES IT UNIQUE!

Tutagawana shares as owners. ila itabidi tukae mezani tuone nani anapata percentage ngapi za shares za umiliki wa kampuni.

siwezi weka business plan hapa jinsi itakavokuwa ila kwa ambaye atakuwa serious, and under agreements naweza mfunulia business plan itakavokuwa!

kama uko serious naomba unicheck kwa hii namba 0689 569 883
napatikana Temeke Dar es salaam

NB: aina ya biashara ni service based type of business na ni e-commerce business.

Kama unauwezo huo usiogope kuinvest kwa sababu bila kufanya huwezi faida yake

Asante! mtanisamehe kwa kuchanganya lugha
 
Mkuu naandika kukueleza hali halisi, sio kukukatisha tamaa.Hiyo pesa unayozungumzia siyo watu hawana ,ipo ila watanzania ni wagumu sana kwenye kufanya investment. Mfano Angalia asili za wamiliki wa website za Jumia,kupatana,zoom je hawa watu ni watanzania?.Ukishapata jibu ndio utajua asili ya mtanzania ni ipi?

Narudia tena watanzania ni wagumu kwenye investment, ukishamwambia faida inapatikana baada ya mwaka mmja au mimiwili hapo hutopata mtu.

Ushauri wangu ni huu.
Anza na kiasi ulichonacho kufanya biashara,hata kama una laki moja anza nayo hiyo hiyo.Unajua mwanzo wa Alibaba au kampuni kama google zote zilianza kama mchicha.Steve jobs walianza kazi wakiwa hawana hata Ofisi.

Anza taratibu,kama wazo ni zuri litakuwa kubwa.

For my experience nina mtu namfam ana idea kama hizo ila anahitaj mtaji mkubwa,sasa ni mwaka wa 4 hajapata investor.

Hivyo uchaguzi ni wako,sijaandika kukushawishi uingie pande ipi Bali nimeandika kutokana na uzoefu wangu.
 
Narudia tens watanzania ni wagumu kwenye investment, ukishamwambia faida inapatikana baada ya mwaka mmja au mimiwili hapo hutopata mtu.

Ushauri wangu ni huu.
Anza na kiasi ulichonacho kufanya biashara,hata kama una laki moja anza NATO hiyo hiyo.Unajua mwanzo wa Alibaba au kampuni kama google zote zilianza kama mchicha.Steve jobs walianza kazi wakiwa hawana hata Ofisi.

Anza taratibu,kama wazo ni zuri litakuwa kubwa.

For my experience nina mtu namfam ana idea kama hizo ila anahitaj mtaji mkubwa,sasa ni mwaka wa 4 hajapata investor.

Hivyo uchaguzi ni wako,sijaandika kukushawishi uingie pande ipi Bali nimeandika kutokana na uzoefu wangu.
nimekuelewa sana Mkuu! na Asante sana kwa ushauri wako.be blessed! nitalifanyia kazi hili
 
Mkuu naandika kukueleza hali halisi, sio kukukatisha tamaa.Hiyo pesa unayozungumzia siyo watu hawana ,ipo ila watanzania ni wagumu sana kwenye kufanya investment. Mfano Angalia asili za wamiliki wa website za Jumia,kupatana,zoom je hawa watu ni watanzania?.Ukishapata jibu ndio utajua asili ya mtanzania ni ipi?

Narudia tena watanzania ni wagumu kwenye investment, ukishamwambia faida inapatikana baada ya mwaka mmja au mimiwili hapo hutopata mtu.

Ushauri wangu ni huu.
Anza na kiasi ulichonacho kufanya biashara,hata kama una laki moja anza nayo hiyo hiyo.Unajua mwanzo wa Alibaba au kampuni kama google zote zilianza kama mchicha.Steve jobs walianza kazi wakiwa hawana hata Ofisi.

Anza taratibu,kama wazo ni zuri litakuwa kubwa.

For my experience nina mtu namfam ana idea kama hizo ila anahitaj mtaji mkubwa,sasa ni mwaka wa 4 hajapata investor.

Hivyo uchaguzi ni wako,sijaandika kukushawishi uingie pande ipi Bali nimeandika kutokana na uzoefu wangu.
Akitulia akausoma ushauri wako kwa kuurudia mara 3 lazima mwezi huu aanze kufanya
 
Back
Top Bottom