Mwekezaji anahitajika wazo ni hili hapa (mtaji 10m+)

Apr 29, 2019
67
82
Habari wakuu,
Nina project yangu ambayo naamini itaweza kuweza kuleta matokeo chanya kwa mwekezaji atakaye iona kama ni fursa.

Naamini hii itakuja kuwa ni moja ya project kubwa kama ikipata mdau.

Hii itakua ni project yangu ya kwanza kutangazwa hadharani kutafuta mdau anaye weza kuwekeza ila ni project yangu ya pili.

Project ya kwanza nilikuwa napita katika maofisi kutafuta wadau,nashukuru nilipata mdau ambae aliwekeza na ni project maarufu tu kwa sasa japo siwezi itaja hapa.

Kwa uzoefu wangu jamiiforum ina watu wenye uwezo tofauti tofauti ambao naamini wao au jamaa zao wanaweza wekeza kwenye project hii pia.

Kawaida hua nabuni project zinazo endana na professional yangu hivyo mara nyingi hua nakua si mbunifu tu wa wazo lakini pia mtendaji.

Nimejaribu kuielezea project kwa kifupi, (shallow ) ili kuepuka kuvuja kwa kitovu cha wazo

PDF hii hapa chini ina wazo hilo,unaweza ipakua na kuisoma.

Kwa maswali na maelezo zaidi ningependa kujadiliana na muhusika aliyekuwa interested na wazo hili ana kwa ana.

For any invite please Email. skyhnltz@gmail.com

View attachment Wazo.pdf
 
Good idea

View attachment 1084111
 
Teh teh teh..
Kwahiyo una project kubwa na maarufu kwa sasa ila huwezi kuitaja...?

Acha uhuni, kama ingekuwa kweli ungeitumia hiyo project maarufu kama mfano ili uaminiwe na uheshimiwe...
 
nimepitia pdf yako.mimi ningetengeneza app ya simu,simu za watu zingetumika kama hizo devices.
 
Kama unakazi unayoifanya na imefanikiwa ungeitaja kuna faida nyingi ungepata moja wapo ni kuitangaza for free maana taarifa zingesambaa kwa kasi sana
 
Back
Top Bottom