Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
Ndivyo unavyojidanganya eennhh?!!!.Kwa taarifa yako wewe utafanya kazi ya kumremba weee!!!,lkn kuna Wahuni wanuka jasho la kikwapa wanamuinamisha fresh tu bila kumpa hata mia huyo mkeo, zaidi sana huyo mkeo atachukua pesa unayomwachia na kumpa mchepuko mnuka jasho.Mmechelewa Sana kuja mjini.
huo ni urembo wa mwanamke sisi wanaume wa pwani ndo tunapenda.
Oa mwanamke wa gharama ili uwe peke yako.
Au labda anatenda miujiza? 😅 samaki na mkate kulisha maelfu ya watu.Kuna mmoja hapa jirani kapewa 50,000 kaambiwa hiyo ndo kila kitu kuanzia nguo, viatu, chakula na nguo za watoto😅😅
Hahaha eti anatenda muujiza, imebidi nicheke kwa nguvuAu labda anatenda miujiza? 😅 samaki na mkate kulisha maelfu ya watu.
Ndivyo unavyojidanganya eennhh?!!!.Kwa taarifa yako wewe utafanya kazi ya kumremba weee!!!,lkn kuna Wahuni wanuka jasho la kikwapa wanamuinamisha fresh tu bila kumpa hata mia huyo mkeo, zaidi sana huyo mkeo atachukua pesa unayomwachia na kumpa mchepuko mnuka jasho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3516]Nilipoona vikuku tu nikajua ni Malaya
Nakazia[emoji4][emoji106]Mmechelewa Sana kuja mjini.
huo ni urembo wa mwanamke sisi wanaume wa pwani ndo tunapenda.
Oa mwanamke wa gharama ili uwe peke yako.
Huyu hapa😊
'Makisio' = 1,195,000/-
Aisee!
Tupia kapicha ka huyo mchepuko basi tuone kama kuna uwiano!
Una umri gani mkuu?Oa mwanamke wa gharama ili uwe peke yako.
Una umri gani mkuu?
😂😂
Hata Samiaunaweza kutembea na mke wa bakhresa au MO?
kabla sijakujibu swali la umri wangu
Usibishe wapo hata hao wa NdoaHawezi akawa mke huyu. Huu ni Mchepuko ++
Hauwezi ukawa mchepuko, huo ni msukuleHawezi akawa mke huyu. Huu ni Mchepuko ++