Kuiga maisha ya nje antie kawa chizi sasa dah. Hawa Bongo movie akili zao za kushikiwa.
Sijui anawafundisha nini hao watoto mpuuzi huyo.
Kachamba watu eti anaonewa wivu hajali chochote yeye kaingiza hela. Nikajiuliza hyo photo shoot gani kapauka ka kambale kwenye matope. Itakua kaiga hafu akajipiga na mchina simu huyu.
Hahahahaa halafu Ant kawa mbaya jamani! Hizo makeup anazopaka uso unang'aa lakini shingo nyeusi kama pua ya mbwa sijui haoni hilo?
Huyu naye!Mimba zingine zina vituko! we acha tu.
Hahaaa anajisahau na kujipiga kitaulo usoni tu na kusahau shingoni na kwingine. Hafu hajui kujipaka make up kanibore ila ndo zake ukiangalia vinguo walivokua wanavaa na Wema kwenye show Mpaka wakaombaga msamaha.
Mhh yule waziri ajue sasa alitembea na kichaa
Katika maisha kuna mambo ambayo mtu hajayategemea...kupata mimba wakat ushachezea kizazi sana ni jambo la ajabu kwa hiyo siyo kumshangaa...mwenzenu haamini
Hili nalo neno... Hivi hawa watoto ni wa mzazi gani anakubali wakafanye huo ujinga!..
Sasa nashangaa mbona lile tangazo la angels pads katoka fresh? Japo kitaulo alikua anapiga maana hadi kwenye miguu kulikua na sugu ila ilikua afadhali...
Labda ni mambo ya mimba tu.
Hawachelewi watu kuja kuutetea huu UHAYAWANI utasikia maisha yake hayo.Mtalalamika sana performance zetu lakini hata pilau mpishi hushiba harufu yake kabla ya chakula.Ladha inapungua zamani kuona paja labda ukaangalie netball siku hizi hata safari hufungi ikiikaa barzani kwako wanapita.
Kwanini asilaumiwe aliyeweka hii umu. Kwani hii picha imewekwa humu na aunt ezekiel mwenyewe?
Haya majitu yamenisababishia ban
Tokaaaaaa pepo tokaaaa