security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Mwasisi wa CHASO ajiunga na CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana tarehe 27 Septemba 2014 kwenye uwanja wa mikutano wa kijiji cha Lwandai kata ya Mlola,lushoto mkoani Tanga.
Deogratius Kisandu ambaye wakati wake alipokuwa Chadema alikuja na hoja za kutaka urais jambo ambalo Dk.Slaa lilimpa tabu sana amejiunga na CCM akitokea NCCR Mageuzi ambapo alikuwa na nyadhifa mbali mbali.