Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,605
Jamaa pamoja na kwamba ni mlinzi ila inakula bata na misele mingi hajutii kufanya kazi na diamond
Karibu WCB record label ambayo mpaka bodyguard ni famous.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jamaa pamoja na kwamba ni mlinzi ila inakula bata na misele mingi hajutii kufanya kazi na diamond
Ndio kwani unasemajeNdio amekutuma uje umpigie promo ili tumjue zaidi au?
Hongera aisee..mpongeze mwambie achape kaziNdio kwani unasemaje
Jamaa na limwili lote hilo linamlinda kabwana mdogo hako halioni hata aibu??
Kweli pesa inaweza Fanya kila kitu.
Maandishi yako yana ukakasi sanaPigana n hali yako yeye ndio anapigana na hali yake apo sw.
Kawa mpole nasikia alirudi k koo kwao ila mpole kama maji kwenye tuiYule mwenzake wanamwita NGUMI JIWE sasa hivi yuko wapi?
-Ndumilakuwili-
Ayaaaaaaaaaa.. Hata mie nilishawahi sikia mtu mmoja akisema hiyo manenoNaskia eti huwa anawachokonoa Mondi na Zari kwa pamoja, Mean "threesome ya kibabe".
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawa mpole nasikia alirudi k koo kwao ila mpole kama maji kwenye tui