Mwarabu fighter

Mwarabu fighter

Mkuu Ngumi Jiwe alifanya nini tena mpaka kawa mpole?
Alikuwa anajifanya mbabe ,mtemi na alikuwa ana tabia ya kulawiti watoto kuna siku alimkamata mtoto mmoja kwa nguvu na kumlawiti yule dogo alilia na kusema ndani ya dakika chache vijana wa k koo ,wahuni walijazana kwake alipokea kipigo na waliitwa mateja wakamlawiti huku akichukuliwa video. Video yake ipo YouTube

Kawa mpole kama sio ngumi jiwe
 
DuuuH! Mtendwa katendwa, kweli mwisho wa ubaya aibu.
 
Yaonekana humjui Mwarabu Mirundi, Fighter zaidi ya kuwa mlinzi wa Diamond ni mchezaji wa mchezo wa Zurkhaneh upande wa Khosti Pahalvan ambapo amepata medali nyingi tu mfano 2011 All African game Mozambique medali ya Shaba na Silver,Ethiopia medali ya Shaba 2015, Tajikistan alifanikiwa kuingia robo fainali ingawa hakushinda medali. Yeye pia mwanachama wa Zurkhaneh Tanzania na anasafiri pia na timu ya taifa ya mchezo huo ukitaka jua mengine ya kimichezo fika BMT, au Zurkhaneh office. Kwa kweli anutumia mwili na ujuzi wake kwa manufaa yake na taifa pia usidharau kazi yake kwani kazi nzuri ya mwenzako...Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, ila bouncer au mlinzi kama huyu nafikiri ni zaidi ya hayo, ni mshauri, kumpa company, kumpa confidence Bw. Diamond. Ni ajira nzuri sana huko ughaibuni, ila kule sawa wanaangalia mambo ya ukubwa wa mwili na uwezo wa kujihami, ila wako zaidi hapo..Hata Diamond akiamuwa kuvaa zile dhahabu au Diamonds au Platinum basi anakuwa hana wasiwasi..Ila siku ikifika imefika hasa kama ukikutana na watu wanaitwa Pink Panthers Pink Panthers - Wikipedia piga magoti wacha wabebe watakacho mnyanyue mwajiri nendeni police tu..
 
Back
Top Bottom