cmoney JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 3,609 Reaction score 5,629 Jul 1, 2017 #41 FaizaFoxy said: Ukubwa wa pua siyo wingi wa makamasi. Hill jitu kuwa tu lakini halina zaidi ya huo ukubwa wa mwili, na unaonesha wazi ni mwili wa kula sana na ma steroids. The lean and mean are the most effective. Click to expand... Nashukuru we bibi umeongeza adui mwengine..huyu Jamaa ni ninja anapiga combat killer Zote. Ngoja akukamate...AF we bibi nakuwazaga kama betina hv[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
FaizaFoxy said: Ukubwa wa pua siyo wingi wa makamasi. Hill jitu kuwa tu lakini halina zaidi ya huo ukubwa wa mwili, na unaonesha wazi ni mwili wa kula sana na ma steroids. The lean and mean are the most effective. Click to expand... Nashukuru we bibi umeongeza adui mwengine..huyu Jamaa ni ninja anapiga combat killer Zote. Ngoja akukamate...AF we bibi nakuwazaga kama betina hv[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,820 Jul 1, 2017 #42 cmoney said: Nashukuru we bibi umeongeza adui mwengine..huyu Jamaa ni ninja anapiga combat killer Zote. Ngoja akukamate...AF we bibi nakuwazaga kama betina hv[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Click to expand... Mwenye martial arts watu kama Hugo huchukuliwa kuwa ni mzigo tu. Hamalizi dakika tatu anaangushwa kama gunia la mahindi. Uliza Mwenye ujuzi wa martial arts wakueleze, ogopa sana watu wasio na miili mikubwa lakini wapo fit. Hilo limejaa minyama na mifuta tu.
cmoney said: Nashukuru we bibi umeongeza adui mwengine..huyu Jamaa ni ninja anapiga combat killer Zote. Ngoja akukamate...AF we bibi nakuwazaga kama betina hv[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Click to expand... Mwenye martial arts watu kama Hugo huchukuliwa kuwa ni mzigo tu. Hamalizi dakika tatu anaangushwa kama gunia la mahindi. Uliza Mwenye ujuzi wa martial arts wakueleze, ogopa sana watu wasio na miili mikubwa lakini wapo fit. Hilo limejaa minyama na mifuta tu.
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 6,003 Jul 1, 2017 #43 pumzihaiuzwi said: Siku nitajaribu kumzaba kibao mond nione vitasa vya mwarabu fighter kama nitazimia nitokee madale Click to expand... Utazimia utokee KOLOMIJE VILLAGE
pumzihaiuzwi said: Siku nitajaribu kumzaba kibao mond nione vitasa vya mwarabu fighter kama nitazimia nitokee madale Click to expand... Utazimia utokee KOLOMIJE VILLAGE
brAin cRacker JF-Expert Member Joined Jun 14, 2017 Posts 1,048 Reaction score 1,667 Jul 2, 2017 #44 pumzihaiuzwi said: Siku nitajaribu kumzaba kibao mond nione vitasa vya mwarabu fighter kama nitazimia nitokee madale Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
pumzihaiuzwi said: Siku nitajaribu kumzaba kibao mond nione vitasa vya mwarabu fighter kama nitazimia nitokee madale Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]