Mwarabu, Diamond Platnumz' official bodyguard!!

Jamaa kuna uzi ulianzishwa hapa tukaona mavitu yake kwenye mkono, sasa nataka nifanye testing naye kama kujichangamsha tu ..blackbelt 2dan Vs mwarabu
 
Hivi huyo jamaa anapokuwa na chibu huwa anabeba mguu wa kuku kweli au yupo mikono mitupu tu..
 
Jamaa kuna uzi ulianzishwa hapa tukaona mavitu yake kwenye mkono, sasa nataka nifanye testing naye kama kujichangamsha tu ..blackbelt 2dan Vs mwarabu
Mkuu una dan mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…