Mwarabu au mzungu anapo muoa mwafrika,humuoa kwa upendp wa dhati kama sisi waafrika tuoapo mzungu au mwarabu.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,635
20,977
Huwa napata hofu sana na jamii hizi,naona kama wengi wao katika malezi yao huwa wanalelewa katika kumuona mwafrika kama "Goloo" au mtumishi wao au kijakazi..hasa kwa wahindi na waarabu.
Je unauchukuliaje muungano huu?
 
Kinashabiki wasimba kazimia huku tuna mpepea akizindukatu nadhani atakuwa najibu lahichi ulicho kiuliza
Huwa napata hofu sana na jamii hizi,naona kama wengi wao katika malezi yao huwa wanalelewa katika kumuona mwafrika kama "Goloo" au mtumishi wao au kijakazi..hasa kwa wahindi na waarabu.
Je unauchukuliaje muungano huu?
 
Huwa napata hofu sana na jamii hizi,naona kama wengi wao katika malezi yao huwa wanalelewa katika kumuona mwafrika kama "Goloo" au mtumishi wao au kijakazi..hasa kwa wahindi na waarabu.
Je unauchukuliaje muungano huu?
IKO HIVYO MKUU,KINACHOTAKIWA KATIKA KUPAMBANA NA HAYO HALI NI KUEPUKA KUITHIBISHA HIYO HALI KIHISIA NA KIMATENDO. IKITOKEA UMEKUWA TAJIRI NENDA INDIA MCHUKUE MTOTO WA KIHINDI MFANYE BEKI TATU.
 
Hata Mwanaume wa Kitanzania anamchukulia Mwanamke wa Kitanzania hivyo hivyo no respect kwa Wanawake wetu, hivyo tuanzie na sisi kwanza tunavyowachukulia wanawake wetu kabla ya kutegemea wengine watuheshimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom