Mwanzo wa mapenzi usikudanganye

Mwanzo wa mapenzi usikudanganye

Umeandika vema. Mapenzi ni kamari, lazima kuwe kuna anaepata na atakae poteza.

Trust no one, suspect even your shadow...
 
Calls na ‘vi-sms’ kila saa KOSA, kuwasiliana mara moja kwa wiki KOSA.... hamueleweki mnataka nini.
Balaa mkuu.Wanaeleweka sema inabid ujitoe kwel kwel yan.Yan kama una solve maswali ya Nelkon&Parker physics.
Hahahahahah
 
Back
Top Bottom