Mwanzo wa mapenzi usikudanganye

Mwanzo wa mapenzi usikudanganye

Uko sahihi, mbwembwe za mwanzo ktk mapenzi hazina maana kabisa ...ingawa kuna wengne huwa ni wa kweli na hawabadiliki ila kuna wengne ni vichomi haswa yani.
 
Wanawake mnatakiwa mtambue kuwa mwanaume anakutamani kwanza then ndo anaanza kukupenda na huko kukutamani kutaishia pale utakapomvulia chupi na hapo ndo determination ya kukaa na ww kwa muda gani ndo unaanza ukiwa mzembe kwenye sex my dear utashangaa kila siku unakimbiwa...mwanaume ukimridhisha kwenye sex utaona mwenyewe atakavyokujali coz we men focus mostly in sex mengine huwa mbwembwe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Utoto raha sana, una ujumbe mzuri ila uko nje ya ulingo..... rudi kasome mada upya.
 
Humu watu wanastress sana za mapenzi, kila mtu ana kilio chake, mwingine hivi mwingine vile
 
Story ndefu sana mpaka nimeshindwa kuimaliza yote....but mapenzi ni mchezo wa fumbo ambao ni mgumu sana kulifumbua....kila MTU anamtazamo wake katika mahusiano na kila MTU anatarget zake...kumpata MTU sahihi ambaye ataweza kukuridhisha kwa 100% ni ngumu sana ndo maana kucheat hakukwepeki yaani ukiona mwanaume hacheat ujue huyo kuna seehhemu anakwama!! ni kwasababu hakuna MTU aliyekamilika 100% katika kila kitu.

Unaweza ukapata demu mzuri ana sura nzuri, shape safi lakini mzembe kitandani sasa unafikiri kuna mwanaume anayependa kuwa na mwanamke mzembe kitandani? wakati mwingine unaweza ukapata demu yupo fresh kitandani lakini unakuta wakawaida tu....wakati mwingine unakuta demu msafi kwa nje lakini k*ma yake ilivyokaa yaani hata haileweki mpaka mtu unakosa hata hamu!

Mwanaume anaweza akadumu na demu muda mrefu endapo huyo MTU anaangalia asilimia 60 ya vitu ambavyo alikuwa anatarajia kuvipata Ila kama mwanamke atakuwa na sifa chache basi ndipo hapo drama huwa zinaanza coz vile alivyovitegemea hajavipata so what is a point of continue that relationship if your not satisfying? ni mwendo wa kuchapa lapa tu!!

Mambo mengi yakuandika Ila tuishie hapa kwanza mengine mtamalazia wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Uko sawa kabisa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom