Mwanzo wa binadamu

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
682
652
a41f459e2ae50b2c80105cf574a73e28.jpg

Nimeamini kweli mwanzo wetu ulitokana na jamii za nyani na sokwe.

Microbiologist wamegundua kua sokwe ni mnyama pekee mwenye kufanana blood group na binadamu.

Hivyo endapo binadamu ataishiwa damu basi anaweza kutafutwa sokwe mwenye blood group inayoendana na mhusika....sio blood group tu hata viungo kama Figo na Ini vinalandana kabisa na binadamu na wanaweza kubadilishana bila shida yoyote.

Source: Utafiti
 
Rudi porini bwana kwa ndugu zako,sisi adamu aliumbwa na kukabithiwa kiumbe kinachotutesa eva/hawa.
 
Rudi porini kwa ndugu zako tuache sisi watoto wa adamu na eva/hawa.
 
Upo sahihi kwa imani yako, kuna wengine wanaamini bing bang theory, wengine reincarnation lakini kabla sijakuacha na imani yako nikuulize swali moja Adam na Eva walijazaje dunia wakiwa wawili tu?
 
Cheza na pawa ya shaft wewe?hizo enzi hizo kulikuwa hakuna chips yai.
 
Back
Top Bottom