herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,199
- 1,378
Hello Wanatech!
Nimekuwa natumia internet sana bila kuifahamu vizuri origin yake hasa ni wapi, nimeona ni heri niulize huku.
1. Ni nani alianzisha internet hapo kale? Elezea kidogo na historia alikuwa anafanya nini hadi akafanikiwa kugundua internet.
2. Ni vipi internet inafanya kazi kwenye hii global system? hapa elezea internet structure & infrastructure zake ili tuelewe vema.
3. Ni nani ana faidika sana na matumizi ya watu duniani ya internet? Na anafaidika vipi?
4. Je inawezekana ku switch off internet ili watu wasiweze kutumia kwa muda kwenye maeneo yao? Kama inawezekana hiyo main switch iko wapi na ni nani mwenye access authority ya hiyo main switch?
5. Nafikiria inawezekana kutumia bure internet yani kwa kutumia utundu watu wa tech najua mnanielewa hapa sababu kwenye tech hamna kinachoshindikana.
Nafahamu kuwa kuna providers kama Tanzania wapo TTCL nk sasa hawa hapa ni just providers wao wanapata access kutoka sehemu ndiyo wanakuja kutuuzia sisi end users sasa naomba kufahamu kule hawa local providers wanakopata access, yani origin yake kule.
- Maswali mengine nitaongeza kutokana na majibu ya wachangiaji.