Mwanza zaidi ya uijuavyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanza zaidi ya uijuavyo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shagiguku, Jun 27, 2011.

 1. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  jamani naomba mnisaidie hivi hii tabia ya tanesco kuchukua umeme wao kwa muda wa twente foo awazi ipo na huko kwenu...? maana hapa imekuwa ni kama jambo la kawaida, matokeo yake imekuwa no umeme for 24 hours no water for 48 hours now, maana yake tanesco anawaambukiza hata MWAUWASA kaugonjwa ka kutokutoa huduma kwa wateja wakati MWAUWASA yetu hainaga tatizo na wateja kwani wao huduma ni mara moja tu tena endelevu, yaani hadi hivi ninavyotuma hii thread hizo huduma ni kama vile hatujui lini zitarejea. kwa kweli mwanza (the rocky city) imekwishakuwa ni keRo. hivo wadau mtujuze kama na ninyi mnapata hii kero ama ni sisi tu wakazi wa MWANZA....???
   
Loading...